24 C
Dar es Salaam

Stay tuned

Subscribe to our latest newsletter and never miss the latest news!
Our newsletter is sent once a week, every Monday.

Latest news

Barcelona yatua Misri, yamtaka kinda Al Ahly

CATALUNYA, Hispania BARCELONA imeanza harakati za kumsajili kinda wa Al Ahly ya Ligi Kuu nchini Misri, Hamza Abdelkarim.Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 17, amecheza...

Mastaa Man City kupimwa uzito

MANCHESTER, Uingereza KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola, ameweka wazi kuwa wachezaji wake wote watapimwa uzito, kabla ya mchezo wao dhidi ya Nottingham Forest. Timu...

Watoto waliotekwa waachiwa

LAGOS, Nigeria WATOTO wengine 130 waliokuwa wametekwa na waasi mwezi uliopita nchini Nigeria wameachiwa na kuungana na familia zao. Ikumbukwe, watoto hao ni miongoni mwa wanafunzi...

Jenerali wa jeshi Urusi auawa

MOSCOW, Urusi URUSI imepata pigo baada ya Jenerali wake wa jeshi kuuawa katika shambulio la bomu, kwa mujibu wa taarifa ya Serikali ya nchi hiyo. Taarifa...

Krismas na maajabu yake EPL

LONDON, Uingereza KWA mashabiki wa Ligi Kuu ya England (EPL), Sikukuu ya Krismas imekuwa na historia ya pekee kwao. Kivipi?Timu inayokuwa kileleni mwa msimamo wa...

Mahakama yataka Waziri Mkuu abaki gerezani

KUALA Lumpur, Malaysia NI wazi sasa Waziri Mkuu wa zamani wa Malaysia, Najib Razak, ataendelea kusota gerezani baada ya Mahakama Kuu kukataa ombi lake la...

Mastaa 10 wenye pesa ndefu AFCON 2025

RABAT, Morocco KARNE hii ya 21 imeshuhudia vipaji vikubwa vya soka barani Afrika na sasa wanaoneshana kazi katika fainali za Mataifa ya Afrika za mwaka...

Gamondi: Nigeria wasitarajie ‘kitonga’

RABAT, Nigeria KOCHA wa timu ya soka ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', Miguel Gamondi, ameweka wazi kuwa vijana wake hawatotanguliza hofu mbele ya Nigeria...

Maganga: OSHA ina nafasi ya kuwezesha shughuli za uzalishaji

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Katibu Mkuu katika Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Mahusiano), Mary Maganga, amesema Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa...

Gamondi katikati ya makocha 9 AFCON 2025

Na mwandishi wetu, Gazetini FAINALI za Mataifa ya Afrika za mwaka huu (AFCON 2025) zitakuwa na makocha 10 ambao itakuwa ni mara yao ya kwanza...

Aubameyang kukosa ufunguzi AFCON 2025

MARSEILLE, Ufaransa SHIRIKISHO la Soka la Gabon (FEGAFOOT) limethibitisha kuwa straika wa timu ya taifa hilo, Pierre-Emerick Aubameyang, atakosekana katika mchezo wao wa kwanza wa...

Kwa nini kwa wengine Krismas ni Januari 7?

Na mwandishi wetu, Gazetini KILA ifikapo Desemba ya kila mwaka, maandalizi na shamrashamra za Sikukuu ya Krismas huonekana wazi katika maeneo mengi duniani. Tofauti na miezi...