HII ndiyo 'psychology' ya pesa ambayo watu wengi hawaielewi. Wengi wanafikiri umasikini unatokana na kukosa pesa.
Lakini ukweli ni kwamba mara nyingi hunasababishwa na mtazamo...
Na mwandishi wetu, Gazetini
MSAJILI wa Hazina, Nehemiah Mchechu, ametoa wito kwa wakurugenzi wa bodi na watendaji wakuu wa kampuni ambazo Serikali ina umiliki wa...
Na mwandishi wetu, Gazetini
MALEZI ya mtoto hayahusu chakula, mavazi au elimu pekee, bali pia maadili anayojifunza akiwa mdogo. Wazazi wengi hutamani kuona watoto wao...
Na mwandishi wetu, Gazetini
TANZANIA inaendelea kupiga hatua katika upatikanaji wa huduma za mawasiliano kupitia teknolojia mbalimbali za mitandao ya simu.
Kwa mujibu wa ripoti ya...
Na mwandishi wetu, Zanzibar
WAKATI Zuhra (Si jina lake halisi) alipokuwa na umri wa miaka 17 tu, hatima ya maisha yake ilikuwa tayari imeanza kuamuliwa...
Na mwandishi wetu, Gazetini
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeridhishwa na maendeleo ya ujenzi na kuanza kwa uzalishaji katika Kiwanda cha...
Na Wakili Baraka Asajile Gwakabale
IFAHAMIKE kuwa kukiri kosa hakufungi mjadala wa kisheria. Kukiri kosa ni kitendo cha mshitakiwa kukubali kuwa alihusika katika kitendo cha...
LONDON, Uingereza
MSHAMBULIAJI wa timu ya soka ya taifa ya Marekani, Trinity Rodman, amekuwa mchezaji anayelipwa mshahara mkubwa zaidi duniani kwa upande wa soka la...
DAKAR, Senegal
Bunge la Kitaifa la Senegal limepitisha kwa wingi muswada unaoongeza adhabu kwa watu wanaofanya mapenzi ya jinsia moja, hatua inayotarajiwa kuimarisha sheria zilizokuwepo...
NAIROBI, Kenya
Kwa mujibu wa mamlaka za Kenya, Zhang alikamatwa wakati wa ukaguzi wa usalama uwanjani hapo baada ya maafisa kugundua shehena kubwa ya siafu...
Na Mwandishi Wetu
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ,Samia Suluhu Hassan, amemuasili mtoto mchanga wa kike leo Machi 11, 2026, katika makazi yake,...
Na Mwandishi Wetu
FAMILIA ya Hayati John Pombe Magufuli imetangaza rasmi ratiba ya kumbukizi ya miaka mitano tangu kifo cha aliyekuwa Rais wa Awamu ya...