Ads: info@gazetini.co.tz |
23 C
Dar es Salaam

Stay tuned

Subscribe to our latest newsletter and never miss the latest news!
Our newsletter is sent once a week, every Monday.

Latest news

Kwa nini Putin, Trump wanapishana angani kuikimbilia China?

BEIJING, China ZIARA ya Vladmir Putin nchini China inakuja zikiwa ni siku chache tu tangu Donald Trump wa Marekani alipomaliza mkutano wake na Rais Xi...

Hali ya vyombo vya habari kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Zambia

LUSAKA, Zambia ZAMBIA iko mbioni kuingia katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Agosti, 2026, huku wanaharati wa haki za binadamu wakitilia shaka hali ya uhuru wa kutoa...

Nani Rais mpya wa Marekani baada ya Trump kutoka 2028?

WASHINGTON DC, Marekani MJADALA wa nani atakuwa Rais ajaye wa Marekani umepamba moto si tu nje, bali hata ndani ya korido za Ikuku ya Marekani....

Huyu ndiye injini ya Iran anayeinyima usingizi Marekani

TEHRAN, Iran KABLA na hata wiki chache chache za mwanzoni mwa vita, Rais Donald Trump aliamini kuizima Iran na kuondosha uongozi ulioko madarakani ingechukua siku...

Klabu zenye mataji mengi ya Ligi ya Europa

LONDON, Uingereza ASTON Villa ndiyo Mabingwa wa msimu huu wa 2025-26 wa michuano ya Ligi ya Europa. Hata hivyo, kwa kuifunga Freiburg mabao 3-0 katika...

Unai Emery aandika historia Ligi ya Europa

LONDON, Uingereza KOCHA raia wa Hispania, Unai Emery, ameweka rekodi baada ya kuiongoza Aston Villa kutwaa ubingwa wa Ligi ya Europa kwa ushindi wa mabao...

Vurugu, wanasiasa kutekwa, kuuawa kuelekea Uchaguzi Mkuu Colombia

BOGOTA, Colombia KUELEKEA Uchaguzi Mkuu wa Mei 31, 2026, Colombia imekuwa kwenye mfululizo wa matukio ya vurugu, yakihusisha pia kutekwa na hata kuuawa kwa wanasiasa. Hali...

Seneta anayetakiwa ICC akamatwa Ufilipino

MANILA, Ufilipino SERIKALI ya Ufilipino imeagiza vyombo vya dola kumtia nguvuni Seneta wake aliyefunguliwa mashitaka na Mahakama ya Uhalifu ya Kimataifa (ICC), Ronald dela Rosa. ICC...

Vita ya Iran: Wakurdi walimsaliti Trump?

WASHINGTON DC, Marekani RAIS Donald Trump ameendelea kuwashutumu wapiganaji wa jamii ya Wakurdi akidai kuwa walificha silaha walizopewa na Marekani wakati wa maandamano makubwa ya...

Hesabu tu! Mechi 5 zilizoamua ubingwa wa Arsenal

LONDON, Uingereza BADO mashabiki wa Arsenal hawajamaliza furaha yao. Ukame wa miaka 22 wa kulikosa taji la Ligi Kuu ya England (EPL) umefikia ukomo msimu...

Mambo 5 yaliyoipa Arsenal ubingwa wa EPL

LONDON, Uingereza MATESO yamekwisha. Baada ya miaka 22 ya kusubiri, Arsenal imetwaa taji la Ligi Kuu ya England (EPL). Taji hilo limetua Emirates baada ya...

Waliondoka Simba, Yanga wakatwaa ubingwa wa CAF

Na Hassan Mwasha, Gazetini MC Alger kutwaa taji la michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika wikiendi iliyopita, ambapo iliifunga Zamalek kwa penalti 8-7, ni stori...