Ads: info@gazetini.co.tz |
23 C
Dar es Salaam

Stay tuned

Subscribe to our latest newsletter and never miss the latest news!
Our newsletter is sent once a week, every Monday.

Latest news

Maeneo 9 ya kujivunia Wizara ya Maliasili na Utalii

Na Hassan Mwasha, Gazetini BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jumatatu, Mei 18, 2026 limepitisha Bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii kwa Mwaka...

‘Kasi ya mapambano dhidi ya Ukimwi imepungua duniani’

NEW YORK, Marekani NI kwa mujibu wa Mpango wa Ukimwi wa Umoja wa Mataifa (UNAIDS), ikielezwa kuwa vita dhidi ya Ukimwi imepungua duniani kutokana na...

Huyu hapa ndiye mchezaji mfupi zaidi NBA

LOS ANGELES, Marekani WAKATI urefu ukionekana kuwa moja ya vigezo muhimu kwenye mchezo wa mpira wa kikapu, Muggsy Bogues anabaki kuwa mchezaji mfupi zaidi kuwahi...

Cuba yanunua ‘drones’ 300 kuitisha Marekani

HAVANA, Cuba SERIKALI ya Cuba imeagiza ndege zisizo na rubani (drones) zaidi ya 300 wakati huu uhusiano wake na Marekani ukiwa kwenye hali mbaya. Mataifa hayo...

Mjadala wa nani mkali kati ya Tupac, Eminem unavyokosa majibu

DETROIT, Marekani NI miaka zaidi ya 30 tangu Tupac Shakur alipofariki. Ni miaka zaidi ya hiyo tangu Eminem alipoanza kuwika katika soko la muziki wa...

Man United ya Carrick msimu ujao balaa tupu

MANCHESTER, Uingereza NI suala la muda tu kabla ya Manchester United kumtangaza Michael Carrick kuwa kocha wao wa msimu ujao (2026-27) baada ya kazi nzuri...

Usiyoyajua kuhusu ugonjwa wa Ebola unaoitesa DRC

Na mwandishi wetu, Gazetini SHIRIKA la Afya la Umoja wa Mataifa (WHO) limetangaza hali ya dharura inayohitaji uangalizi wa kimataifa baada ya mlipuko wa ugonjwa...

Ufalme wa Chama: Jinsi alivyotawala soka la Bongo

Na Hassan Mwasha, Gazetini MJADALA mkubwa kwa sasa katika soka la Tanzania, hasa Ligi Kuu Bara, ni kiwango bora alichonacho kiungo wa kimataifa wa Zambia,...

Misimu 5 KMC ikiwindwa kushuka daraja Ligi Kuu Bara

Na Hassan Mwasha, Gazetini KWA misimu mitano ya hivi karibuni, KMC imekuwa ikinusurika kwenye mtego wa kushuka daraja lakini huenda safari hii ikashindwa kujinasua na...

Mbeya City na ‘ICU’ inayotishia kuwarudisha Championship

Na Hassan Mwasha, Gazetini BAADA ya kukosekana kwa misimu miwili mfululizo, safari hii Mbeya City bado inapitia wakati ngumu msimu huu wa Ligi Kuu Bara...

Dangote aishukuru Serikali ya Dk. Samia

Na mwandishi wetu, Gazetini MWENYEKITI na Mtendaji Mkuu wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, ameishukuru Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dk. Samia...

Lewandowski kukipiga wapi msimu ujao?

CATALUNYA, Hispania MSHAMBULIAJI mkongwe wa Barcelona, Robert Lewandowski, ataondoka klabuni hapo mwishoni mwa Juni, 2026. Lewandowski (37), alijiunga na Barcelona mwaka 2022 akitokea Bayern Munich na...