Ads: info@gazetini.co.tz |
23.7 C
Dar es Salaam

Stay tuned

Subscribe to our latest newsletter and never miss the latest news!
Our newsletter is sent once a week, every Monday.

Latest news

Wazazi wanauza watoto ili kumudu gharama za maisha

Na mwandishi wetu, Gazetini KATIKA kila watu wanne nchini Afghanistan, watatu hawamudu mahitaji ya msingi, ambayo ni chakula, mavazi na makazi, kwa mujibu wa ripoti...

Nini ufanye, uepuke wakati wa Sikukuu ya Kuchinja?

Na Hassan Mwasha MEI 27, 2026, waumini wa Dini ya Uislam wa Tanzania Bara na Visiwani Zanzibar wataungana na wenzao duniani kote kusherehekea Sikukuu ya...

Kiti cha Katibu Mkuu UN: Nani alifaulu, nani alifeli?

NEW YORK, Marekani KATIBU Mkuu ndiyo cheo cha ngazi ya juu zaidi ndani ya Umoja wa Mataifa (UN) na kwa sasa kinashikiliwa na Waziri Mkuu...

Igor Thiago: Kutoka maisha ya msoto hadi Kombe la Dunia 2026

LONDON, Uingereza WAKATI kocha wa timu ya soka ya Taifa ya Brazil, Carlo Ancelotti, alipotangaza kikosi kitakachokwenda kwenye fainali za Kombe la Dunia za mwaka...

Simanzi! Spurs kuaga EPL baada ya miaka 34?

LONDON, Uingereza TOTTENHAM ni moja ya zile klabu sita zilioasisi Ligi Kuu ya England (EPL) na imeshiriki kwa miaka yote 34 ya michuano hiyo ya...

Marekani yawataka akina Mayele kukaa karantini

WASHINGTON DC, Marekani TAARIFA kutoka Ikulu ya Marekani imeeleza kuwa wachezaji wa timu ya soka ya Taifa ya DRC watatakiwa kukaa karantini kwa siku 21...

Tanesco yawahakikishia maafisa huduma kwa wateja mazingira bora ya kazi

Na mwandishi wetu, Gazetini MKURUGENZI wa Rasilimali Watu na Utawala wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Beatrice Kimoleta, amewahakikishia Maafisa Uhusiano na Huduma kwa Wateja...

Maambukizi ya Ebola yaongezeka DRC, vifo vyafikia 160

KINSHASA, DRC VISA vya maambukizi ya ugonjwa wa Ebola vineripotiwa kuongezeka na kuiweka kwenye hali mbaya sekta ya afya chini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo...

‘Majembe’ yaliyopigwa chini England itakayokwenda Kombe la Dunia 2026

LONDON, Uingereza KOCHA wa timu ya soka ya Taifa ya England 'Three Lions', Thomas Tuchel, ameshatangaza kikosi chake kitakachoshiriki fainali za Kombe la Dunia za...

Rais wa Senegal ‘amtumbua’ Waziri Mkuu

DAKAR, Senegal RAIS WA Senegal, Bassirou Diomaye Faye, amemfuta kazi Waziri Mkuu wake, Ousmane Sonko, sambamba na kulivunja Baraza la Mawaziri. Aidha, taarifa za Waziri Mkuu...

Introducing Hemoperfusion Technology in Tanzania: A Registered Dialysis Nurse’s Journey

By: Benjamin Emmanuel Meshack, RN Registered Dialysis Nurse & Dialysis Applications Specialist (Hemoperfusion Technology), Tanzania In many low- and middle-income countries, access to advanced blood...

Uchambuzi Kundi la Stars kufuzu AFCON 2027

Na mwandishi wetu, Gazetini WENYEJI wa fainali za Mataifa ya Afrika za mwakani (AFCON 2027), Taifa Stars, wameangukia Kundi L wakati wa droo ya upangaji...