INSTANBUL, Uturuki
KAMA hujawahi kufuatilia Ligi Kuu ya Uturuki, basi hebu jaribu kufanya hivyo msimu ujao (2026-27) kwani kuna uhondo wa 'kufa mtu' kutokana na...
LONDON, Uingereza
KWA miaka 43 sasa, rekodi ya dunia ya mbio ndefu za mita 800 kwa wanawake haijawahi kuvunjwa. Bado inashikiliwa na mwanariadha raia wa...
BEIRUT, Lebanon
LEBANON imekuwa nchi ya kwanza ya Mashariki ya Kati kufuta sheria ya hukumu ya kifo kwa wafungwa wake. Hatua hiyo ilifikiwa hivi karibuni...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
TANZANIA imeweka lengo la kuhakikisha asilimia 80 ya Watanzania wanatumia nishati safi ya kupikia ifikapo mwaka 2034, huku Serikali ikisisitiza ushiriki...
Na mwandishi wetu, Gazetini
WAKATI maumivu ya kupokonywa Selemani Mwalimu yakiwa hayajapoa, Yanga imeipiga tena Simba kwenye mshono kwa kuifunga bao 1-0 na kutwaa taji...
NEW YORK, Marekani
SHIRIKA la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) limeeleza katika ripoti yake kuwa wasichana takribani milioni 2.4 nchini Afghanistan wamenyimwa...
LISBON, Ureno
BAADA ya miaka 10 ya uchumba, hatimaye staa wa soka, Cristiano Ronaldo amefunga ndoa na mpenzi wake, Georgina Rodriguez.
Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa...
MIAMI, Marekani
SUPASTAA wa soka, Lionel Messi, amesema kifo cha baba yake, Jorge, kinamfanya asijione akiendelea kucheza kwa muda mrefu.
Jorge alifariki wiki iliyopita akiwa na...
LONDON, Uingereza
KLABU ya Chelsea imemtambulisha beki wa pembeni kutoka Rayo Vallecano ya Hispania, Pep Chavarria.
Nyota huyo mwenye umri wa miaka 28 anakuwa mchezaji wa saba kusajiliwa na...
DAMASCUS, Syria
WAKATI hali ya utulivu ikiwa haijatengamaa, Syria iliingia katika Uchaguzi Mkuu mwaka 2021 na Assad kushinda kwa muhula wake wa nne madarakani. Ni...
DAMASCUS, Syria
KAMA ilivyoelezwa katika sehemu ya kwanza ya makala haya, Assad hakutarajiwa kuwa kiongozi wa Syria. Hakuonekana kupenda siasa na kufuata nyayo za baba...