Ads: info@gazetini.co.tz |
24.2 C
Dar es Salaam

Stay tuned

Subscribe to our latest newsletter and never miss the latest news!
Our newsletter is sent once a week, every Monday.

Latest news

Bashar al-Assad: Rais ‘dikteta’ aliyeangukia hukumu ya kifo (1)

DAMASCUS, Syria  MAHAKAMA Kuu ya Syria imemuhukumu kifo aliyekuwa Rais wa Taifa hilo, Bashar al-Assad, baada ya kumkuta na hatia katika mashitaka ya uhalifu dhidi ya...

Vichocheo vya kufikia malengo ya Dira 2050: Sayansi na Teknolojia

Na mwandishi wetu, Gazetini SAYANSI na Teknolojia zinachochea ubunifu na kuongeza tija na ushindani. Hivyo basi, sayansi na teknolojia ni vichocheo muhimu vinavyoleta tija, ufanisi...

Vichocheo vya kufikia malengo ya Dira 2050: Nishati

Na mwandishi wetu, Gazetini UPATIKANAJI wa nishati ya uhakika ni kichocheo kikubwa cha ukuaji wa uchumi na maendeleo ya jamii. Umuhimu wa nishati unajidhihirisha kuanzia...

Vichocheo vya kufikia malengo ya Dira 2050: Usafirishaji fungamanishi 

Na mwandishi wetu, Gazetini VICHOCHEO vya maendeleo ni nyenzo muhimu katika kuongeza kasi ya kufikia malengo ya Dira 2050. Kwa kutambua hilo, Dira hii imebainisha...

Ronald Araujo: Beki wa kadi nyekundu aliyetua Liver akitokea La Liga

MERSEYSIDE, Uingereza NYOTA huyo wa eneo la ulinzi ameondoka Barcelona na kujiunga na Liverpool majira haya ya kiangazi. Alikuwa nahodha wakati Wacatalunya hao wakitwaa ubingwa...

Madrid wao ni Zubimendi tu

LONDON, Uingereza KLABU ya Real Madrid haijaachana na mpango wake wa kumsajili kiungo wa Arsenal na timu ya soka ya Taifa ya Hispania, Martin Zubimendi. Licha...

Kane agombewa Barcelona, Tottenham

MUNICH, Ujerumani KLABU mbili za Barcelona na Tottenham zimeingia kwenye vita ya kuiwania saini ya mpachikaji mabao hatari wa Bayern Munich, Harry Kane. Kane (33), anatarajiwa...

Kenya yataka uenyeji mashindano ya Riadha ya Dunia

NAIROBI, Kenya KENYA imetupa karata yake katika mbio za kuwania tiketi ya kuwa mwenyeji wa Mashindano ya Riadha ya Dunia yatakayofanyika mwaka 2029. Endapo Kenya itafanikiwa...

Waasi waua wanajeshi Mali

BAMAKO, Mali WANAJESHI zaidi ya 10 wameripotiwa kuuawa baada ya kambi yao kushambuliwa na kikundi cha waasi wikiendi iliyopita. Jama'at Nusrat al-Islam wal-Muslimin (JNIM), ambalo ni...

Benki ya Dunia, Serikali kukamilisha mpango wa kuongeza ajira kwa vijana

Na Mwandishi Wetu, Gazetini SERIKALI ya Tanzania na Benki ya Dunia zimefanya kikao cha pamoja cha kuhitimisha maandalizi ya kitaalamu ya Programu ya Uendelezaji wa...

Infantino anachota mshahara wa bil. 12/-

NYON, Uswis HIVI karibuni, kiongozi huyo wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) alikuwa Colombia kuhudhuria hafla ya kuapishwa kwa Rais mpya wa Taifa hilo...

Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Zambia

LUSAKA, Zambia UCHAGUZI Mkuu nchini Zambia utafanyika Alhamisi ya wiki hii, yaani Agosti 13, 2026, na macho ya wengi yameeelekezwa katika kinyang'anyiro cha urais. Ifahamike kuwa...