24.6 C
Dar es Salaam

Uncategorized

DCEA: Tumeanza kuwasaka mapapa waliojificha nje ya Nchi

Na Mwandishi Wetu, Gazetini MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imeteketeza zaidi ya tani nne za dawa za kulevya zilizokuwa zikihifadhiwa...

Museveni kugombea tena; ni tamaa au uzalendo?

Na mwandishi wetu, GazetiniNI takribani miaka 40 akiwa madarakani na sasa Yoweri Museveni ni miongoni mwa wagombea wa kiti cha urais katika Uchaguzi Mkuu...

Meya Uingereza aibuka kumjibu Trump

LONDON, UingerezaMEYA wa Jiji la London, Sadiq Khan, amemwita Rais wa Marekani, Donald Trump, kuwa ni mtu aliyetawaliwa na ubaguzi wa rangi, jinsia na...

Zelensky aonya Urusi kuvamia mataifa mengine

KYIV, UkraineURUSI itaendelea kuvamia mataifa mengine ya Ulaya endapo Umoja wa Mataifa hautachukua hatua za kuizuia.Aliyesema hayo ni Rais wa Ukraine, Zelensky, wakati alipokuwa...

Sura mbili tofauti utawala wa Ibrahim Traore

Na mwandishi wetu, GazetiniKWA upande mmoja, Ibrahim Traore wa Ivory Coast anatajwa kuwa ni shujaa, akionekana kuwa ni mtetezi halisi wa Bara la Afrika...

Mo ajiondoa Bodi ya Wakurugenzi Simba,  Barbara Gonzalez arejea

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba, Mohammed Dewji ‘Mo’, ametangaza  kuachana na majukumu hayo na kumteua Crescentius Magori kuchukua nafasi...

Nguvu ya wanawake Uchaguzi Mkuu Malawi

LILONGWE, MalawiKWA mara ya kwanza katika historia ya siasa za Malawi, wagombea wengi wa kiti cha urais wamewateua wanawake katika nafasi ya mgombea mweza...

Kiungo Moussa  Conte rasmi atambulishwa Yanga

Na Mwandishi Wetu Mabingwa wa Ligi Kuu na Kombe la Shirikisho Tanzania, Klabu ya Yanga imemtambulisha rasmi kiungo wa kimataifa wa Guinea, Moussa Bala Conte...

Usky: Umri namba tu, nitamchakaza Dubois

LOS ANGELES, MarekaniKUELEKEA pambano lao la kesho, Oleksandr Usyk amesema umri wake mkubwa hautamzuia kumtandika Daniel Dubois.Hii inakuwa mara ya pili kukutana baada ya...

Rais Samia kuzindua Dira ya Taifa ya 2050

Na Mwandishi Wetu Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua rasmi Dira ya Maendeleo ya Taifa ya 2050, Julai 17, 2025 kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete...

Lissu awaambia wafuasi wake wajiandae akitoka ni mchakamchaka

Na Mwandishi Wetu Mwenyekiti wa Chama Cha  Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amewaambia wasuasi na viongozi wa chama hicho  kuwa wajiandae  kwani  akitoka  ni mchakamchaka. Lissu amezungumza hayo leo Julai...

Trump akana kuisaidia Iran

RAIS wa Marekani, Donald Trump, amekana madai ya kuiwezesha Iran kiasi cha Dola bilioni 30 ili kitumike katika mpango wa nyuklia. Siku chache zilizopita, Shirika...

Recent articles

spot_img