LONDON, Uingereza
KWA miaka zaidi ya 33, Ligi Kuu ya England (EPL) imeshuhudia makocha wakiingia na kutoka, wachache tu wakimudu ushindani uliopo na kujijengea heshima...
LONDON, Uingereza
Leighton ndiye anayewauzia magari mastaa wengi wa klabu. Miongoni mwao wachezaji aliochota fedha zao kwa kuwauzia 'mandinga' ya kifahari ni Harry Kane, John...
MANCHESTER, Uingereza
MANCHESTER City imekamilisha usajili wa beki wa kati kutoka Crystal Palace, Marc Guehi, ambaye ametokea Crystal Palace kwa ada ya Pauni milioni 20.
Guehi...
LONDON, Uingereza
KLABU ya Aston Villa haijarudi nyuma katika mkakati wao wa kumsajili mpachikaji mabao wa zamani wa Chelsea, Tammy Abraham.
Nyota huyo wa kimataifa wa...
MILAN, Italia
KLABU ya Inter Milan imeanza harakati za kuinasa saini ya mlinda mlango wa Aston Villa na timu ya taifa ya Argentina, Emi Martinez.
Inter...
MANCHESTER, Uingereza
JINA la Niko Kovac limeingia rasmi katika orodha ya makocha wanaohusishwa na kibarua cha kuinoa Manchester United msimu ujao.
Taarifa rasmi zinaeleza kuwa kocha...
RABAT, MoroccoSHIRIKISHO la Soka la Morocco (FRMF) limeweka wazi mpango wake wa kuiandikia barua ya malalamiko Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), kupinga kile...
RABAT, Morocco
BAO pekee la staa wa Villarreal ya Hispania, Pape Gueye, limehitimisha msimu huu wa fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON 2025) kwa kuipa...
DAKAR, Senegal
WAKATI timu ya taifa ya Senegal inatwaa ubingwa wa fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) kwa kuifunga Misri mwaka 2021, Sadio Mane ndiye...
Na mwandishi wetu, Gazetini
BEKI wa zamani wa Stellenbosch FC ya Afrika Kusini, Ismael Olivier Toure, amejiunga na kikosi cha Simba kupitia kipindi hiki cha...
MADRID, Hispania
MSHAMBUALIJI wa Real Madrid, Kylian Mbappe, anaamini si sahihi kusema Xabi Alonso alifeli katika kibarua chake cha kuinoa timu hiyo.
Alonso alifungashiwa virago hivi...