Ads: info@gazetini.co.tz |
22.2 C
Dar es Salaam

Michezo

Chisora v Wilder: Vita ya karne ngumi za uzito wa juu duniani

LONDON, Uingereza NI rasmi sasa Derek Chisora na Deontay Wilder watavaana, huku pambano hilo la ngumi za uzito wa juu duniani likitarajiwa kupigwa Aprili, 2026...

Yanga yaingilia ugomvi wa Mangungu na mshabiki Simba

Na Mwandishi Wetu, Gazetini UONGOZI wa Klabu ya Yanga umesema umesikitishwa na kitendo cha vurugu alichofanyiwa Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Murtaza Mangungu na mashabiki...

Simba maji ya shingo CAF, yaambulia sare kwa Esperance

Na mwandishi wetu, Gazetini LICHA ya kuongoza kwa mabao 2-0, Simba imejikuta ikiambulia pointi moja baada ya kulazimishwa sare ya 2-2 na Esperance, mchezo uliochezwa...

Mkeka! Walioingia, waliotoka dirisha dogo EPL

LONDON, Uingereza USAJILI dirisha dogo wa Januari, 2026, umefungwa kwa klabu za Ligi Kuu ya England (EPL). Je, klabu yako imefanya sokoni? Arsenal Walioingia: Hakuna Waliotoka: Harrison Dudziak...

Arsenal yafikia rekodi ya Man United, Chelsea

LONDON, Uingereza USHINDI wa mabao 4-0 dhidi ya Leeds United umeifanya Arsenal kuifikia rekodi iliyodumu kwa miaka 26 katika michuano ya Ligi Kuu ya England...

Mourinho apewa Madrid

NYON, Uswis HATIMAYE Droo ya mechi za 'play off' za kusaka tiketi ya kucheza hatua ya 16 Bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya imechezeshwa leo...

Grealish nje hadi msimu ujao

MERSEYSIDE, England NI pigo kwa Jack Grealish, ambapo mshambuliaji huyo wa Everton atalazimika kuwa nje ya uwanja kwa kipindi chote cha msimu huu. Grealish anayecheza kwa...

Yanga yamponza staa Al Ahly, afungiwa wiki mbili

CAIRO, Misri KLABU ya Al Ahly imemtoza faini kiungo wake raia wa Misri, Emam Ashour, kwa kitendo chake cha kushindwa kusafiri na kikosi kitakachoivaa Yanga. Timu...

Hatimaye CAF yazishughulikia Senegal, Morocco

CAIRO, Misri SHIRIKISHO la Soka barani Afrika (CAF) limeziadhibu timu za taifa za Senegal na Morocco kwa vitendo vya utovu wa nidhamu vilivyooneshwa katika mechi...

Al Ahly yaanza safari kuifuata Yanga Zanzibar

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Klabu ya Al Ahly ya nchini Misri imeanza safari kuelekea Zanzibar kwa ajili ya mchezo wa hatua ya makundi ya...

TFF yaupiga kufuri Uwanja wa KMC

Na Mwandishi Wetu, Gazetini  SHIRIKISHO la Soka Tanzania, (TFF) limeufungia uwanja wa KMC, uliopo Mwenge, jijini Dar es Salaam kutumika kwa  mechi za  Ligi kutokana...

Simba SC: ‘Do or Die’ kuwavusha makundi Ligi ya Mabingwa Afrika?

Na mwandishi wetu, Gazetini 'DO or Die' ndicho kitu pekee wanachohitaji Simba ili kuvuka makundi na kuingia robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu...

Recent articles