Ads: info@gazetini.co.tz |
31.2 C
Dar es Salaam

Michezo

Neymar aiokoa Santos

RIO, BrazilBAO la dakika za mwisho la Neymar limeiwezesha Santos kuzoa pointi tatu katika mchezo wao dhidi ya Flamengo, ambao ni wa Ligi Kuu...

England, Italia hapatoshi nusu fainali EURO

LONDON, EnglandMICHUANO ya soka la wanawake ya EURO 2025 imefikia patamu na sasa England itakwaana na Italia katika hatua ngumu ya nusu fainali.England ilivuka...

Newcastle: Isak haendi Liverpool

LONDON, EnglandMABOSI wa Newcastle United wameweka mgomo wakisisitiza kuwa mpachikaji mabao wao, Alexander Isak, hauzwi kwa gharama yoyote.Newcastle wamedai kuwa hata kama nyota huyo...

Ally Kamwe akiri kuvutiwa na TshabalalaNa Mwandishi Wetu

Na Mwandishi Wetu Ofisa Habari wa klabu  ya Yanga Ally  Kamwe amesema licha ya kuwa yupo upande mwingine lakini ni shabiki mkubwa wa wachezaji  wa Simba, Mohammed Hussein...

Jesus amfuata Ronaldo, afunguka

RIYADH, Saudi ArabiaKLABU ya Al Nassr ya Ligi Kuu ya Saudi Arabia imemtangaza Jorge Jesus kuwa kocha wake mkuu.Ni miezi isiyozidi mitatu tangu Mreno...

Kocha United apewa mikoba Oman

MUSCAT, OmanALIYEWAHI kuwa kocha msaidizi wa Manchester United wakati ule wa Alex Ferguson, Carlos Queiroz, ametangazwa kuwa mkuu wa benchi la ufundi la timu...

Yamal aingia matatani kisa ‘birthday’

CATALUNYA, HispaniaSTAA wa Barcelona, Lamine Yamal, anachunguzwa kwa kile alichokifanya wakati wa sherehe ya 'birthday' yake ya kutimia umri wa miaka 18.Katika sherehe hiyo...

Isak kuvunja rekodi Liverpool

MERSEYSIDE, EnglandLIVERPOOL inaangalia uwezekano wa kufungua pochi na kumsajili mpachikaji mabao wa Newcastle United, Alexander Isak.Inaelezwa kuwa Liverpool wamepanga kumfanya Isak kuwa mchezaji wa...

Chelsea wana nafasi ubingwa EPL 2025-26?

LONDON, EnglandBAADA ya kutwaa mataji ya Conference League, Chelsea walihitimisha furaha yao wikiendi iliyopita kwa kuifunga PSG mabao 3-0 na kubeba ubingwa wa Kombe...

Nkane, Kibwana wajitosa kwenye ndondi, kuzichapa Julai 26 Dar

Na Mwandishi Wetu Wachezaji wa Yanga, Kibwana Shomari na Denis Nkane wamajitosa kwenye mchezo wa ngumi ambapo Julai 26, 2025 wanatarajiwa kupanda ulingoni kuzichapa katika...

Mokwena ‘aipotezea’ Orlando, atua Algeria

ALGER, AlgeriaKOCHA mwenye jina kubwa Afrka, Rulani Mokwena, amejiunga na mabingwa wa Ligi Kuu ya Algeria, Mouloudia Alger.Kwa wiki kadhaa za hivi karibuni, Mokwena...

Tolisso aingia rada za Man United

MANCHESTER, EnglandMABOSI wa klabu ya Manchester United wameanza mazungumzo ya kumsajili kiungo wa Lyon na timu ya taifa ya Ufaransa, Corentin Tolisso.Matheus Cunha kutoka...

Recent articles