Ads: info@gazetini.co.tz |
28.2 C
Dar es Salaam

Michezo

Mambo 5 yaliyoipa Arsenal ubingwa wa EPL

LONDON, Uingereza MATESO yamekwisha. Baada ya miaka 22 ya kusubiri, Arsenal imetwaa taji la Ligi Kuu ya England (EPL). Taji hilo limetua Emirates baada ya...

Waliondoka Simba, Yanga wakatwaa ubingwa wa CAF

Na Hassan Mwasha, Gazetini MC Alger kutwaa taji la michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika wikiendi iliyopita, ambapo iliifunga Zamalek kwa penalti 8-7, ni stori...

Huyu hapa ndiye mchezaji mfupi zaidi NBA

LOS ANGELES, Marekani WAKATI urefu ukionekana kuwa moja ya vigezo muhimu kwenye mchezo wa mpira wa kikapu, Muggsy Bogues anabaki kuwa mchezaji mfupi zaidi kuwahi...

Man United ya Carrick msimu ujao balaa tupu

MANCHESTER, Uingereza NI suala la muda tu kabla ya Manchester United kumtangaza Michael Carrick kuwa kocha wao wa msimu ujao (2026-27) baada ya kazi nzuri...

Ufalme wa Chama: Jinsi alivyotawala soka la Bongo

Na Hassan Mwasha, Gazetini MJADALA mkubwa kwa sasa katika soka la Tanzania, hasa Ligi Kuu Bara, ni kiwango bora alichonacho kiungo wa kimataifa wa Zambia,...

Misimu 5 KMC ikiwindwa kushuka daraja Ligi Kuu Bara

Na Hassan Mwasha, Gazetini KWA misimu mitano ya hivi karibuni, KMC imekuwa ikinusurika kwenye mtego wa kushuka daraja lakini huenda safari hii ikashindwa kujinasua na...

Mbeya City na ‘ICU’ inayotishia kuwarudisha Championship

Na Hassan Mwasha, Gazetini BAADA ya kukosekana kwa misimu miwili mfululizo, safari hii Mbeya City bado inapitia wakati ngumu msimu huu wa Ligi Kuu Bara...

Lewandowski kukipiga wapi msimu ujao?

CATALUNYA, Hispania MSHAMBULIAJI mkongwe wa Barcelona, Robert Lewandowski, ataondoka klabuni hapo mwishoni mwa Juni, 2026. Lewandowski (37), alijiunga na Barcelona mwaka 2022 akitokea Bayern Munich na...

Man City ilivyovunja rekodi kwa Chelsea

MANCHESTER, Uingereza BAADA ya kuifunga Chelsea bao 1-0, Manchester City si tu imetwaa ubingwa wa Kombe la FA, bali pia imeandika historia mpya kwenye michuano...

Kocha Chelsea aitangazia vita Man City

LONDON, Uingereza KOCHA wa muda wa Chelsea, Calum McFarlane, amesema hawana cha kuambulia msimu huu zaidi ya Kombe la FA, hivyo lazima wapambane kuifunga Manchester...

Rio: United mpeni kazi Luis Enrique

LONDON, Uingereza LEJENDARI wa Ligi Kuu ya England (EPL), Rio Ferdinand, amesema kama si Michael Carrick, basi Luis Enrique wa PSG ndiye kocha sahihi wa...

Dakika 20,70 za Ibenge ndani ya ligi kuu bara

Na Hassan Mwasha, Gazetini KOCHA mwenye 'CV' kubwa katika soka la Afrika, Florent Ibenge, ametimiza dakika dakika 20,70 tangu alipoanza kuisimamia Azam katika mechi za...

Recent articles