NYON, Uswis
HIVI unafahamu kuwa zimeshafungwa 'hat-trick' 54 katika historia ya michuano ya soka ya Kombe la Dunia kwa wanaume tangu ilipoanza mwaka 1930?
Chukua hiyo....
MADRID, Hispania
KIPA wa zamani wa Real Madrid, Iker Casillas, ameibuka na majina ya makocha 10, ambao amesema wanastahili kuajiriwa na klabu hiyo kuliko kumpa...
MANCHESTER, Uingereza
PEP Guardiola anaondoka Manchester City, klabu aliyoinoa kwa mafanikio makubwa tangu ilipomuajiri mwaka 2016 akitokea Bayern Munich ya Bundesliga.
Kwa upande mwingine, miaka yake...
LONDON, Uingereza
WAKATI kocha wa timu ya soka ya Taifa ya Brazil, Carlo Ancelotti, alipotangaza kikosi kitakachokwenda kwenye fainali za Kombe la Dunia za mwaka...
WASHINGTON DC, Marekani
TAARIFA kutoka Ikulu ya Marekani imeeleza kuwa wachezaji wa timu ya soka ya Taifa ya DRC watatakiwa kukaa karantini kwa siku 21...
LONDON, Uingereza
KOCHA wa timu ya soka ya Taifa ya England 'Three Lions', Thomas Tuchel, ameshatangaza kikosi chake kitakachoshiriki fainali za Kombe la Dunia za...
Na mwandishi wetu, Gazetini
WENYEJI wa fainali za Mataifa ya Afrika za mwakani (AFCON 2027), Taifa Stars, wameangukia Kundi L wakati wa droo ya upangaji...
LONDON, Uingereza
ASTON Villa ndiyo Mabingwa wa msimu huu wa 2025-26 wa michuano ya Ligi ya Europa. Hata hivyo, kwa kuifunga Freiburg mabao 3-0 katika...
LONDON, Uingereza
KOCHA raia wa Hispania, Unai Emery, ameweka rekodi baada ya kuiongoza Aston Villa kutwaa ubingwa wa Ligi ya Europa kwa ushindi wa mabao...
LONDON, Uingereza
BADO mashabiki wa Arsenal hawajamaliza furaha yao. Ukame wa miaka 22 wa kulikosa taji la Ligi Kuu ya England (EPL) umefikia ukomo msimu...