Ads: info@gazetini.co.tz |
24.2 C
Dar es Salaam

Michezo

Arteta: PSG hawasumbui, tumejipanga

LONDON, Uingereza KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta, ana imani kubwa na kikosi chake, akisema wamejipanga kuikabili PSG na kutwaa taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya...

Uganda, Kenya macho yote Yanga, Simba vita ya ubingwa Ligi Kuu Bara

Na Hassan Mwasha, Gazetini WAKATI Uganda na Kenya zikiwa zimeshapata mabingwa wa msimu huu katika Ligi Kuu zao, hapa nchini bado 'ugali moto, mboga moto'...

Arsenal yatabiriwa kipigo fainali ya UEFA

LONDON, Uingereza BEKI wa zamani wa Manchester United, Gary Neville, ameitabiria ushindi PSG katika fainali yao ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Washika Bunduki...

Xabi Alonso apewa ushauri Chelsea

LONDON, Uingereza MKONGWE wa Ligi Kuu ya England (EPL), Paul Merson, amemtaka kocha mpya wa Chelsea, Xabi Alonso, kumrudisha kikosini straika Nicolas Jackson. Baada ya kushindwa...

Mabosi United wamrudisha mezani Bruno

MANCHESTER, Uingereza UONGOZI wa Manchester United umesitisha mpango wake wa kumpiga bei Bruno Fernandes baada ya kiwango kizuri alichokionesha kiungo huyo raia wa Ureno msimu...

Olise: Ureno haimtegemei tena Ronaldo

MUNICH, Ujerumani WINGA wa Bayern Munich, Michael Olise, amesema kwa sasa timu ya Taifa ya Ureno haimtegemei nahodha wake, Cristiano Ronaldo. Na badala yake, Olise raia...

Yanga yaibamiza Namungo, yarudi kileleni ikiisubiri Mashujaa

Na Hassan Mwasha, Gazetini YANGA imerejea kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara bada ya ushindi mnono wa mabao 3-1 walioupata mbele ya Namungo katika...

Majeraha yalivyochangia anguko la Tottenham

LONDON, Uingereza ALIPOTEULIWA kuinoa Tottenham, kocha Roberto De Zerbi alikiri wazi mbele ya waandishi wa habari, kwamba ana bahati mbaya kuajiriwa wakati ambao timu timu...

Bao la Mpanzu laishusha Yanga kileleni

Na Hassan Mwasha, Gazetini BAO pekee la Elie Mpanzu katika mchezo dhidi ya Dodoma Jiji limeiwezesha Simba kushika usukani wa msimamo wa Ligi Kuu Bara...

Sajili hizi zimelipa, zimerudisha chenji EPL 2025-26

LONDON, Uingereza UKIWEKA kando Arsenal kutwaa ubingwa, msimu huu wa Ligi Kuu ya England (EPL) umeshuhudia viwango bora vya wachezaji waliosajiliwa na klabu mbalimbali. Nyota hao...

Guardiola atatua wapi akiondoka Man City?

MANCHESTER, Uingereza PEP Guardiola amekamilisha projekti aliyopewa wakati anaajiriwa na Manchester City mwaka 2016. Kuifanya klabu hiyo kuwa tishio barani Ulaya. Amefanikiwa. Wakati huu akijiandaa kuondoka,...

Ujerumani kuendeleza mkosi wa kuaga mapema Kombe la Dunia?

MUNICH, Ujerumani MABINGWA mara nne wa fainali za Kombe la Dunia, timu ya soka ya Taifa ya Ujerumani imekuwa na mkosi wa kuondoshwa mapema kwenye...

Recent articles