LONDON, Uingereza
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Ureno, Joao Felix, ameweka wazi nia yake ya kuondokaAl-Nassr ya Saudi Arabia na kurudi katika soka la Ulaya.
Aliwahi kucheza...
LONDON, Uingereza
ARSENAL na Real Madrid zimeingia kwenye mbio za kuiwania saini ya mpachikaji mabao hatari wa klabu ya Manchester City, Erling Haaland.
Taarifa zinaeleza kuwa...
LONDON, Uingereza
MWANAMICHEZO maarufu wa mieleka wa Uingereza, Benjamin Satterley ‘Pac’, amefariki akiwa na umri wa miaka 40, kwa mujibu wa wawakilishi wake.
Pac ameiaga dunia...
CAIRO, Misri
UKIACHA Tanzania, Kenya na Uganda ambazo ni wenyeji, timu zingine 21 zinasaka tiketi ya kushiriki fainali zijazo za Mataifa ya Afrika .
Kwa upande...
Na mwandishi wetu, Gazetini
KATI ya watu 20 wenye wafuasi wengi zaidi katika mtandao wa kijamii wa Instagram, 14 wanatoka nchini Marekani.
Hata hivyo, wanasoka...
MANCHESTER, Uingereza
BEKI wa zamani wa Manchester City na timu ya Taifa ya Ujerumani, Jerome Boateng, ametangazwa kuwa kocha msaidizi wa Trabzonspor ya Ligi Kuu...
CATALUNYA, Hispania
MKURUGENZI wa ufundi wa Barcelona, Deco, ameweka wazi kuwa klabu hiyo haina mpango wa kumsajili kinda wa Manchester United, JJ Gabriel.
Gabriel , anahusishwa...
OSLO, Norway
STRAIKA wa timu ya Taifa ya Norway, Erling Haaland, amefunga mabao mawili na kuliwezesha chama lake kupata ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya...
LONDON, Uingereza
MSHAMBULIAJI wa Arsenal, Kai Havertz, amepata majeraha akiwa kwenye majukumu ya timu yake ya taifa ya Ujerumani.
Havertz na staa wa Sunderland, Brian Brobbey,...