LONDON, Uingereza
NDANI ya miaka miwili tu, Johan Manzambi ametoka kuwa mchezaji asiyefahamika hadi kuingia kwenye rada za klabu kadhaa kubwa za Ulaya na huenda...
LONDON, Uingereza
ARSENAL walifungua pazia la msimu huu wa Ligi Kuu ya England wakiwa na matajirio ya kutetea ubingwa wao. Manchester City, Liverpool na...
LONDON, Uingereza
TEKNOLOJIA ya kumsaidia mwamuzi kwa kutumia marejeo ya video ilitambulishwa Ligi Kuu ya England kwa lengo la kuondosha utata wa makosa...
MANCHESTER, Uingereza
LEJENDARI wa Manchester United, Gary Neville, amewataja Angel Di Maria na Antony kuwa ndiyo wachezaji wabovu zaidi kuwahi kusajiliwa na klabu hiyo tangu...
LISBON, Ureno
KOCHA wa timu ya soka ya Taifa ya Ureno, Jorge Jesus, ameanika sababu ya kumuweka benchi nahodha wake, Cristiano Ronaldo, katika mchezo dhidi...
MUNICH, Ujerumani
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Colombia, Luis Diaz, anaamini staa mwenzake katika kikosi cha Bayern Munich, Harry Kane, ndiye anayestahili tuzo ya Ballon d’Or...
MUNICH, Ujerumani
KOCHA wa zamani wa Borussia Dortmund na Liverpool, Jurgen Klopp, ameanza na mguu mbaya kibarua chake cha kuinoa timu ya Taifa ya Ujerumani.
Ujerumani...
LONDON, Uingereza
LEJENDARI Angel Di Maria amemshauri kocha wa timu ya soka ya Taifa ya Argentina, Lionel Scaloni, kumkabidhi kitambaa cha unahodha Cristian Romero.
Aidha, kauli...