LONDON, Uingereza
NAHODHA wa zamani wa Manchester United, Rio Ferdinand, amesema usajili bora wa kipindi hiki cha kiangazi ni ule wa winga mpya wa Arsenal,...
MANCHESTER, Uingereza
STRAIKA Chido Obi ameondoka rasmi katika klabu ya Manchester United na kujiunga na Willem II ya Uholanzi kwa mkataba wa mkopo wa msimu...
LOS ANGELES, Marekani
STAA wa mchezo wa gofu nchini Marekani, Tiger Woods, amefungiwa miaka mitano kuendesha gari baada ya ajali aliyopata Machi, 2026.
Adhabu hiyo imekuja...
BUENOS AIRES, Argentina
‘NIMETOA kila kitu, sina nilichobakiza.’ Ni kauli ya Lionel Messi wakati alipotangaza hivi karibuni, kwamba amestaafu kuitumikia timu ya soka ya Taifa...
RIYADH, Ureno
KLABU ya Al Hilal imethibitisha kuachana rasmi na straika wake raia wa Ufaransa, Karim Benzema, ikieleza kuwa ni makubaliano ya pande mbili.
Benzema aliyewahi...
MIAMI, Marekani
BAADA ya Lionel Messi kutangaza kustaafu kuitumikia timu ya Taifa ya Argentina, beki wa kikosi hicho, Rodrigo De Paul, ameibuka na ujumbe wa...
LONDON, Uingereza
MKONGWE wa Arsenal, Thierry Henry, anaiona timu hiyo ikienda kubeba tena taji la Ligi Kuu ya England msimu huu wa 2026-27.
Henry raia wa...
CAPE TOWN, Afrika Kusini
MWANDISHI wa habari maarufu wa Afrika Kusini, Robert Marawa, amefichua kuwa kocha mkongwe, Pitso Mosimane, ndiye atakayeinoa timu ya soka ya...
LONDON, Uingereza
KOCHA Mikel Arteta ameingia kwenye orodha ya makocha wachache waliowahi kufikisha mechi 250 za Ligi Kuu ya England wakiwa na klabu moja.
Orodha hiyo...
BUENOS AIRES, Argentina
LIONEL Messi ametangaza rasmi kustaafu kuichezea timu ya taifa ya Argentina, akisema amefikia wakati wa kuachana na jezi hiyo baada ya safari...
MERSEYSIDE, Uingereza
HATIMAYE mshambuliaji raia wa Ufaransa, Bradley Barcola, amejiunga na Liverpool akitokea PSG, usajili huo ukigharimu kitita cha Pauni milioni 123.
PSG walitaka Pauni milioni...