NEW YORK, Marekani
MSIMU uliopita wa fainali za Kombe la Dunia za mwaka 2022 zilizofanyika Qatar, Kylian Mbappe ndiye aliyeibuka mfungaji bora, licha ya timu...
LONDON, Uingereza
KOMBE la Dunia ni michuano mikubwa zaidi katika mchezo wa soka, hivyo ni ndoto ya kila mchezaji kucheza mashindano hayo ya Shirikisho la...
BUDAPEST, Hungry
HIVI unafahamu kuwa hakuna timu ya soka ya taifa yenye wastani mzuri wa mabao ya kufunga kuliko Hungary katika historia ya fainali za...
LOS ANGELES, Marekani
TIMU ya mawakili wa Sean Combs 'Diddy' inapambana kupinga hukumu aliyopewa rapa huyo anayeendelea kusota gerezani tangu Oktoba, 2025, akitumikia kifungo cha...
LONDON, Uingereza
MIAKA ya hivi karibuni imewashuhudia makocha waliokabidhiwa mikoba ya kuzinoa timu kubwa za Ligi Kuu ya England (EPL) wakipitia nyakati ngumu, wengi wakishindwa...
Na mwandishi wetu, Gazetini
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema hakuna taifa linaloweza kubaki nyuma katika dunia ya sasa inayotawaliwa na teknolojia, akili bandia...
LONDON, Uingereza
NI siku 10 tu zimebaki kabla ya kuanza kwa fainali za Kombe la Dunia za mwaka huu zitakazofanyika Marekani, Canada na Mexico.
Wakati Argentina...
LONDON, Uingereza
HATIMAYE kiungo mkongwe Ligi Kuu ya England (EPL), James Milner, alitangaza kustaafu soka hivi karibuni. Ni baada ya miaka 24 ya kucheza kwa...
Na mwandishi wetu, Gazetini
MATUMIZI ya mirungi yana historia ndefu barani Afrika, yakitajwa kuanza miaka mingi iliyopita katika nchi za Ethiopia, Eritrea, Kenya na Somalia.
Mirungi...