Ads: info@gazetini.co.tz |
25.5 C
Dar es Salaam

Makala

Kilimo cha bangi, uvutaji na madhara yake

Na mwandishi wetu, Gazetini KWA tafsiri ya Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya hapa nchini (DCEA), bangi ni aina ya dawa ya...

‘Nilitumia dawa za kulevya kuongeza nguvu za kiume, nikaishia pabaya’

Na Hassan Mwasha MAISHA ya Juma Mgota, mkazi wa Mtaa wa Muhalitan, Tandale jijini Dar es Salaam, yanaweza kuwa sehemu ndogo tu ya madhila wanayopitia...

Sura mpya siasa za Madagascar baada ya maandamano ya Gen-Z

Na mwandishi wetu, Gazetini MWISHONI mwa mwaka 2025, Madagascar ilitikiswa na maandamano makubwa ya vijana wa Gen-Z walioingia barabarani wakipinga hali mbaya ya kiuchumi, wakati...

Mrembo aliyekaribia kuvunja ndoa ya Jay Z, Beyonce

LOS ANGELES, Marekani RAPA Jay Z na staa wa Malkia wa muziki wa R&B na Pop, Beyonce Knowles, ni moja ya 'kapo' za muda mrefu...

Depu na kivuli cha Dube: Yanga inahitaji straika mpya?

Na mwandishi wetu, Gazetini MJADALA wa kiwango cha mashambuliaji wa kimataifa wa Angola, Depu, tangu asajiliwe na Yanga umeshika kasi mitandaoni na hata vijiweni, wengi...

Carrick, Man United na safari ya matumaini 2025-26

MANCHESTER, Uingereza RUBEN Amorim alitimuliwa kwenye benchi Januari, 2026, na nafasi yake kuchukuliwa na kocha Michael Carrick, ambaye ameiwezesha Manchester United kurejea Ligi ya Mabingwa. Ni...

Eminem; Kutoka maisha magumu mtaani hadi ustaa

LOS ANGELES, Marekani ANAITWA Marshall Bruce Mathers III lakini mashabiki wake wanamfahamu kwa jina la Eminem, ambaye ni mmoja ya mastaa wakubwa na wa muda...

Siku 365 zilivyohitimisha kibarua cha Arne Slot

MERSEYSIDE, England LIVERPOOL wametangaza kumfuata kazi kocha wao raia wa Uholanzi, Arne Slot. Ametimuliwa leo Mei 30, 2026, zikiwa ni siku 365 tangu alipoajiriwa. "Klabu ya...

Historia inavyomuuliza maswali Mchungaji Msigwa

Na Hassan Mwasha, Gazetini KUONDOKA Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) haikutosha kwa Mchungaji Peter Msigwa. Akahamia kwa washindani wao wakubwa katika siasa za Tanzania,...

Nje ya soka, hii hapa ‘pisi kali’ ya Mikel Arteta

LONDON, Uingereza ACHANA na ndani ya uwanja, ambako tayari ameshaweka rekodi ya kuipa Arsenal taji la Ligi Kuu ya England (EPL) baada ya klabu hiyo...

Viongozi 16,000 wa elimu kunufaika na mafunzo ya uongozi

Na Mwandishi Wetu, Gazetini-Mwanza Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais-TAMISEMI imezindua rasmi programu ya mafunzo ya uongozi...

Moto shule ya wasichana wasababisha vifo 16

GILGIL, Kenya MOTO ambao chanzo chake hakijafahamika umeripotiwa kusababisha vifo vya watu 16, wengi wao wakiwa ni wanafunzi, katika shule ya bweni ya Sekondari ya...

Recent articles