Na Ramadhan Hassan, Gazetini-Dodoma
WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, amesema Serikali itaendelea kuhakikisha hakuna mtoto anayekosa haki ya kupata elimu, ikiwemo...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
UNAJIULIZA kwanini hujapigiwa simu ya kuitwa kazini licha ya kuhisi ulifanya vizuri Siku ya usahili (interview)? Tulia.
Huenda tatizo si uwezo wako...
MANCHESTER, Uingereza
ANGEL di Maria alitua Manchester United mwaka 2014 akitokea Real Madrid, usajili wake wa Pauni milioni 59.7 ukivunja rekodi katika soka la Uingereza.
Chanzo...
MERSEYSIDE, Uingereza
LIVERPOOL waliuanza msimu huu wa 2025-26 wakiwa na matarajio makubwa ya kufanya vizuri baada ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya England (EPL)...
PORT-AU-PRINCE, Haiti
HAITI ni Kisiwa kilichopo Caribbean, kikifahamika kwa hali yake mbaya ya usalama kutokana na machafuko yanayosababishwa na utitiri wa magenge ya uhalifu yaliyotapakaa...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
NIMEKUWA nikifuatilia kwa karibu ziara za Waziri Mkuu wa Serikali ya Awamu ya Sita ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt....
Na mwandishi wetu, Gazetini
AKIWA ugenini nchini Ivory Coast, bondia wa uzito wa Middle nchini, Hassan Mwakinyo, alishindwa kutwaa ubingwa wa dunia wa IBO baada...
BOGOTA, Colombia
JINA la Shakira si geni kwa wapenzi wa muziki duniani. Ni mrembo mzaliwa wa Colombia, ambaye hivi karibuni alitumbuiza katika hafla ya ufunguzi...
LOS ANGELES, Marekani
PESA siyo tatizo. Kwa miaka aliyofanya kazi ya muziki, Chris Brown ameweza kujikusanyia utajiri wa Dola za Marekani milioni 50, huku vyanzo...
LOS ANGELES, Marekani
MOJA ya makundi yaliyoacha katika mapinduzi ya muziki wa Hip hop nchini Marekani na duniani kwa ujumla ni N.W.A lililoasisiwa mwishoni mwa...
LONDON, Uingereza
TANGU alipoanguka uwanjani wakati wa fainali za EURO 2020, straika wa timu ya Taifa ya Denmark, Christian Eriksen, amekuwa akivaa kifaa maalumu cha...