MADRID, HispaniaTAIFA linaloshika nafasi ya kwanza katika viwango vya ubora wa soka duniani. Timu yao ya taifa pia inafahamika kwa jina la 'La Furia...
GLASGOW, ScotlandMWAKA 2007, Scotland ilipanda kwenye viwango vya ubora wa soka duniani na kushika nafasi ya 13. Kwa sasa, iko nafasi ya 36.Timu yake...
PORTO, UrenoKWA mujibu wake, fainali za Kombe la Dunia za mwakani zitakuwa za mwisho kwake, kisha atatundika daluga. Huyo ni Cristiano Ronaldo.Ureno inakwenda kwenye...
MUNICH, UjerumaniIKIWA nafasi ya tisa katika viwango vya ubora wa soka duniani, Ujerumani ni sehemu ya mataifa 48 yatakayoshiriki fainali zijazo za Kombe la...
ZAGREB, CroatiaNAFASI ya 10 kwenye viwango vya ubora wa soka duniani. Croatia wamepromoka kwa nafasi saba, tofauti na nafasi ya tatu waliyokuwa mwaka 1998.Licha...
BRUSSELS, UbelgijiLICHA ya kutokuwa na taji kubwa, Ubelgiji ni moja ya mataifa yanayofanya vizuri katika ulimwengu wa soka. Nafasi ya nane kwenye viwango vya...
VIENNA, AustriaMWAKA 2016, Austria ilipanda hadi nafasi ya 10 katika viwango vya ubora wa soka vya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA). Kwa sasa,...
PORT-AU-PRINCE, HaitiKWA mujibu wa viwango vya ubora wa soka duniani, Taifa hilo la Amerika ya Kaskazini linashika nafasi ya 84. Haiti iliwahi kusogea hadi...
WILLEMSTAD, CuracaoVIWANGO vya ubora vya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) linaionesha Curacao ikiwa nafasi ya 82 duniani. Iliwahi kufika nafasi ya 68 mwaka...