BEIJING, China
KATIKA nchi nyingi duniani, maeneo ya mijini yameonekana kuwa ndiyo fursa ya kukimbilia, hasa kwa vijana wenye ndoto za kuishi maisha mazuri.
Kwa Beijing,...
LONDON, Uingereza
HIVI karibuni, tasnia ya soka duniani ilishitushwa na kifo cha lejendari wa klabu za Liverpool na Newcastle United, Kevin Keegan. Amefariki akiwa na...
Na Hassan Mwasha
VIDEO iliyosambaa mitandaoni ikiwaonesha wafanyabishara matajiri kutoka wilayani Katoro mkoani Geita wakimwaga pesa katika sherehe 'ime-trend' hivi karibuni kwenye tasnia ya burudani...
MIAMI, Marekani
SAHAU kabisa kuhusu matokeo. Fainali ya Kombe la Dunia iliyochezwa jana iliwakutanisha makocha wawili, Luis de la Fuente wa Hispania na Lionel Scaloni...
Miami, Marekani
KAMPUNI ya utengenezaji na usambazaji wa vifaa vya michezo ya Adidas ndiyo iliyoongoza kwa kuhudumia timu nyingi wakati wa fainali za Kombe la...
NYON, Uswis
ZIPO sababu kuu tatu zinazoweza kuisukuma FIFA (Shirikisho la Soka la Kimataifa) kuipiga 'stop' timu ya taifa iliyo sehemu ya wanachama wake kushiriki...
MIAMI, Argentina
ARGENTINA ya kocha Lionel Scaloni itaingia katika mchezo huo wa fainali dhidi ya Hispania ikiwa bingwa mtetezi kwa taji lake la miaka minne...
MIAMI, Marekani
ANAITWA Slavko Vincic, mwamuzi wa kati aliyeteuliwa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) kucheza mechi ya fainali msimu huu wa Kombe la...
BOSTON, Marekani
MSIMU huu wa Kombe la Dunia unaelekea ukingoni. Fainali itachezwa kesho Jumapili, Julai 19, 2026, katika Uwanja wa MetLife nchini Marekani, ikizikutanisha Argentina...
Na mwandishi wetu, Gazetini
Licha ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 kuendelea kujadiliwa katika ngazi mbalimbali, bado wananchi wengi hawajaielewa kwa kina, jambo linaloonyesha...