Ads: info@gazetini.co.tz |
25.5 C
Dar es Salaam

Makala

Hii hapa ratiba ya ‘pre-season’ vigogo EPL

LONDON, Uingereza WAKATI huu fainali za Kombe la Dunia zikiendelea, msimu ujao wa Ligi Kuu ya England (EPL 2026-27) nao uko njiani. Kama ilivyo kawaida, msimu...

Samatta na viatu vyake, Mwakinyo na glovu zake

Samatta na viatu vyake, Mwakinyo na glovu zake Na Hassan Mwasha, Gazetini SAFARI ya Mbwana Samatta na timu ya soka ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars'...

Nani haogopi kuchukua fomu ya urais Yanga?

Na Hassan Mwasha, Gazetini YANGA wanaelekea katika Uchaguzi Mkuu, ambapo mchakato huo wa kidemokrasia unatarajiwa kufanyika Agosti 2, 2026. Ukiwa ni mwezi mmoja kabla ya Uchaguzi,...

Pato: Baada ya kustaafu, siku hizi anakula maisha ukweni

RIO, Brazil UNAMKUMBUKA Alexandre Pato, kiungo wa zamani wa timu ya soka ya Taifa ya Brazil 'Selecao'? Alianza safari yake ya soka la kulipwa akiwa Internacional...

Dube na hadithi ya maumivu iliyofikia tamati Yanga

Na Hassan Mwasha, Gazetini HIVI karibuni, Yanga iliachana na mshambuliaji wake raia wa Zimbabwe, Prince Dube, ambaye amejiunga na Hardrock ya Ligi Kuu nchini humo....

Chanzo, hukumu ya Kanisa Katoliki kwa maaskofu sita

ROMA, Italia KANISA Katoliki lina wafuasi bilioni 1.4 duniani kote, hivyo kulifanya kuwa moja ya taasisi zenye nguvu na ushawishi mkubwa. Kama zilivyo taasisi zingine, Kanisa...

‘Ushamba’ huu unaua ‘brand’ anayoipigania Injinia Hersi

Na mwandishi wetu, Gazetini MSIMU wa 2025/26 ulifikia tamati Juni 30, 2026, na habari kubwa ni Yanga kutwaa taji kwa mara ya tano mfululizo. Kwa ufupi,...

Wanafunzi 36 bado wanashikiliwa na watekaji

LAGOS, Nigeria WANAFUNZI 36, pamoja na mfanyakazi wa shule, bao hawajaachiwa na kikundi cha waasi, kwa mujibu wa Polisi nchini Nigeria. Mapema wiki hii, waasi hao...

Mambo yasiwe mengi! Mastaa hawa walifunga ndoa kimyakimya

LONDON, Uingereza KWA fedha nyingi na umaarufu mkubwa walionao, wangeweza kuifanya siku ya ndoa zao kufahamika duniani kote. Hata hivyo, waliona mambo yasiwe mengi. Wakaamua kufunga...

Ligi Kuu Bara 2025-26 kufungwa kwa staili hii

Na Hassan Mwasha, Gazetini MSIMU huu wa 2025-26 wa Ligi Kuu Bara utafikia ukomo wake kesho Juni 30,2026, kwa timu zote 16 kushuka dimbani. Kwamba viwanja...

Maisha, utata wa kifo, maziko ya Rais Edgar Lungu (4)

Na mwandishi wetu, Gazetini KATIKA sehemu ya tatu ya mfululizo wa makala haya, tuliona Lungu akirejea katika nafasi yake ya Rais wa PF baada ya...

Unamsaidiaje mtoto wako kuchagua tahasusi Kidato cha Tano?

Na Hassan Mwasha, Gazetini HIKI ni kipindi ambacho wazazi wako 'bize' na maandalizi ya shule kwa wanafunzi wanaokwenda kuianza safari ya elimu kwa masomo ya...

Recent articles