Na Hassan Mwasha, Gazetini
KWA nyakati na nyakati, jina la Gobless Lema limekuwa likiingia na kutoka katika shutuma za usaliti ndani ya Chama cha Demokrasia...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
SIKIA hii! Usichokijua ni kwamba TRA United ya mkoani Tabora ndiyo timu inayoongoza kwa idadi kubwa ya sare kufikia hatua hii...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
MAMBO magumu! Kagera Sugar na Pamba Jiji ndizo timu mbili pekee ambazo hadi kufikia hatua hii hazibahatika kupata ushindi, licha ya...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
HOI kabisa! Kufikia hatua hii ya msimu wa 2026-27 wa Ligi Kuu Bara, Pamba Jiji na Namungo ndizo zinazoongoza kwa kufungwa...
Na mwandishi wetu, Gazetini
KILA mtu ashinde zake! Katika mechi nne walizocheza wakiwa nyumbani msimu huu wa Ligi Kuu Bara, mabingwa watetezi, Yanga, wameshinda zote,...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
KAZI ipo! Kagera Sugar ndiyo timu iliyoruhusu mabao mengi hadi sasa, ikiwa imecheza mechi sita msimu huu wa Ligi Kuu Bara...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
KWA upande wa matokeo, ni ngumu kukubaliana na wanaomkosoa. Ameshinda mechi zote sita kwenye Ligi Kuu msimu huu wa 2026-27. Hajafungwa...
Na mwandishi wetu, Gazetini
SERIKALI imesema katika kuongeza ufanisi katika sekta za Bandari nchini kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imetekeleza miradi mbalimbali...
Na mwandishi wetu, Gazetini
UTAFITI mpya wa kimataifa umebaini kuwa kati ya wakulima na wafanyakazi wa mashambani milioni 402 hadi 433 duniani wanaathiriwa na viuatilifu...
Na mwandishi wetu, Gazetini
SERIKALI imesaini mkataba wa Sh bilioni 198.67 kwa ajili ya ujenzi wa njia mpya ya kusafirisha umeme wa msongo wa kilovoti...
Na mwandishi wetu, Gazetini
SIMBA imeuanza vizuri msimu huu wa Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuinyuka Mighty Wanderers bao 1-0 katika mchezo uliochezwa katika...