Na Hassan Mwasha, Gazetini
HISTORA inaweza kuzitaja skendo za ufisadi za ESCROW na RICHMOND kama nyakati mbaya zaidi katika utawala wa Serikali ya Awamu ya...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
HOJA ya maridhiano ina umuhimu mkubwa. Ukweli ulio wazi ni kwamba nchi ipo kwenye mkwamo unaohitaji meza ya mazungumzo. Tuzungumze kweli...
Na mwandishi wetu, Gazetini
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, ametangaza kustaafu siasa na utumishi wa umma,...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
KWA miaka mitatu mfululizo tangu aliposajiliwa mwaka 2023, amekuwa kwenye kiwango kile kile kutoka mechi moja hadi nyingine. Na inapotokea siku...
Na Faraja Mulungu Gazetini
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema Mradi wa Kufua Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) si...
Na mwandishi wetu, Gazetini
HATIMAYE Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amewataja Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais Mstaafu,...
Na mwandishi wetu, Gazetini
MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imesema Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu,...