Ads: info@gazetini.co.tz |
31.2 C
Dar es Salaam

Kitaifa

SGR yapata ajali, TRC yataja chanzo

Na Mwandishi Wetu Treni ya Mwendokasi (SGR) imeacha njia yake na kupata ajali katika eneo la Ruvu Mkoani Pwani asubuhi ya leo Oktoba 23,2025 wakati...

Viongozi wa dini watoa tamko kuelekea Oktoba 29

Na Mwandishi Wetu, Mwanza Kamati ya Amani ya Mkoa wa Mwanza kwa kushirikiana na viongozi wa dini, imesema kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29,...

Nauza kura yangu, nani atafika bei Oktoba 29?

Na Hassan Mwasha, GazetiniKAMPENI zimeshika kasi. Ni siku chache tu zimebaki kuelekea Oktoba 29, siku ambayo Watanzania watatumia haki yao ya Kikatiba kupiga kura...

Kocha Stars: Pointi nne zinatosha AFCON

Na Hassan Mwasha, GazetiniKOCHA wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', Hemed Suleiman, amesema pointi nne zinatosha kukivusha kikosi hicho hatua...

Kwanini Yanga wamemfungashia virago Folz?

Na Hassan Mwasha, GazetiniKWA sasa benchi la ufundi la Yanga lipo chini ya kocha msaidizi raia wa Malawi, Patrick Mabedi, ambaye aliajiriwa hivi karibuni."Uongozi...

Padre aliyepotea apatikana akiwa hai

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma limefanikiwa kumpata Padre Camillus Nikata wa Jimbo Kuu la Songea, ambaye pia ni Mhadhiri wa Chuo...

Ndoto ya kuunganisha Tanga na Pwani ya Afrika Mashariki mbioni

*Ujenzi wake wafikia asilimia 74.3 Na Mwandishi Wetu, Gazetini-Tanga UJENZI wa Daraja la Pangani mkoani Tanga, lenye urefu wa mita 525 pamoja na barabara unganishi na...

Huyu ndiye kocha mpya Yanga

Na Hassan Mwasha, GazetiniYANGA wamemtambulisha kocha mpya, Patrick Mabedi, ambaye amejiunga na benchi la ufundi kufanya kazi chini ya Romain Folz. Ifahamike kuwa Yanga...

Tamthilia Azam TV; Uhondo umeanzia walipoishia ITV

Na mwandishi wetu, GazetiniLEO hii, kama ni 'mateka' wa tamthilia za Tanzania zinazorushwa na Azam TV, basi tunaweza kusema unaiishi dunia yenye kumbukumbu nzuri...

Megawati 90 kuongeza uchimbaji madini Chunya – “umeme safi, uwekezaji bora”

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Mkuu wa Wilaya ya Chunya, Mbarak Alhaji Batenga, amefafanua mikakati kabambe ya kuimarisha shughuli za uchimbaji madini wilayani humo, ikiwemo ujenzi...

Singida Fountain Gate kuzindukia kwa Dodoma?

Na Hassan Mwasha, GazetiniUKITUPA macho kwenye msimamo, Singida Fountain Gate iko mkiani ikiwa imezibeba timu zingine 19 zinazoshiriki msimu huu wa Ligi Kuu Bara.Iko...

Mechi 42, mabao 36 Ligi Kuu Bara 2025-26

Na Hassan MwashaKABLA ya mapumziko ya kupisha mechi za timu za taifa zilizo kwenye kalenda ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), msimu huu...

Recent articles