Na Mwandishi Wetu,Gazetini
KLABU za Simba na Yanga zimetozwa faini ta sh.5,000,000 kila moja kwa kosa la walinzi wake kugombana na kutoleana lugha za matusi wakati wa mchezo wa Dabi ya Kariakoo ulipigwa Machi 1,2026 kwenye Uwanja...
Na mwandishi wetu, Gazetini
FEBRUARI 28, 2026 imeingia kwenye kumbukumbu baada ya kuwa ndiyo siku aliyouawa Kiongozi Mkuu wa Iran, Ali Khamenei, ambaye aliuawa katika mashanbulizi ya kijeshi ya Marekani na Israel yanayoendelea nchini humo.
Kwa upande mwingine,...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
MWAMUZI Kassim Mpanga Mpanga wa Dar es Salaam, amefungiwa miezi sita kosa la kukataa bao halali la Simba wakati wa mchezo...
Na Winfrida Mtoi
MABONDIA wa ngumi za kulipwa, Halima Ramadhani maarufu Vunjabei na Sara Alex wanatarajia kupanda ulingoni Machi 21, 2026 kusaka heshima ya Tanzania...
TEHRAN, Iran
SAA chache baada ya Iran kuanza kushambuliwa makombora ya Marekani na Israel, Serikali ya Urusi ilitoa tamko zito.
Mwakilishi wa Urusi ndani ya Umoja...
Na Wakili Baraka Asajile Gwakabale
MAUAJI yanafafanuliwa kisheria, si kwa maoni ya jamii, na kifungu husika ni cha 196. 'Murder' hutokea pale mtu anaposababisha kifo...
Na mwandishi wetu, Gazetini
MUFTI na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ally ametoa rai dhidi ya vitendo vya kueneza chuki za kidini...
MANCHESTER, Uingereza
RADA za maskauti wa Manchester United zimemnasa beki wa pembeni wa Borussia Dortmund, Julian Ryerson. Anatakiwa Old Trafford kwa ajili ya msimu ujao.
Ryerson...
LONDON, Uingereza
KLABU ya Arsenal imeanza harakati za kumsajili moja kwa moja beki wake wa mkopo, Piero Hincapie.
Nyota huyo mwenye umri wa miaka 24, amekuwa...
MERSEYSIDE, Uingereza
KUNA uwezekano mkubwa huu ukawa msimu wa mwisho kwa kocha raia wa Uholanzi, Arne Slot, kuliongoza benchi la ufundi la Liverpool.
Wamiliki wa klabu...
Na mwandishi wetu, Gazetini
MIAKA ya hivi karibuni imeshuhudia migogoro mingi ya wanamuziki wa Bongo Fleva na mabosi wa lebo zao.
Mfano wa hivi karibuni ni...
Na mwandishi wetu, Gazetini
NI rahisi kuona watu wakikuwekea chuki na wivu kwa vile tu umefanikiwa, bila kujua umepitia shida nyingi kufika hapo ulipo. Wanachukulia...
LONDON, Uingereza
WAZIRI Mkuu wa Uingereza, Sir Keir Starmer, amesema serikali yake itashirikiana kwa karibu na sekta zilizoathirika pamoja na washirika wa kimataifa ili kukabiliana...