NAIROBI, Kenya
TIMU ya wakaguzi ya Shirikisho la Soka l Afrika (CAF) haijaridhishwa na kiwango cha maandalizi yaliyofanyika kwa ajili ya fainali zijazo za AFCON...
MADRID, Hispania
Mechi hiyo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya ilisimama kwa dakika 10 baada ya Vinicius kumlalamikia mwamuzi kuwa mchezaji wa Benfica, Gianluca Prestianni, amemwita...
LONDON, Uingereza
ARSENAL inaongoza katika mbio za kuiwania saini ya kinda wa Real Madrid, Victor Valdepenas, kwa mujibu wa Gazeti la AS la Hispania.
Nyota huyo...
MERSEYSIDE, Uingereza
UMESHAWAHI kusikia msemo wa 'usajili ni kamari'? Kwamba wakati mwingine mchezaji anayefanya vizuri akiwa na klabu moja anaweza 'kupotea' baada ya kuhamia kwingine.
Mifano...
LONDON, Uingereza
KLABU za Manchester United na Chelsea zimeripotiwa kukanusha ripoti zinazodai kuwa zimewasiliana na kocha wa zamani wa Liverpool, Jurgen Klopp.
Klopp, raia wa Ujerumani...
LISBON, Ureno
KOCHA wa Benfica, Jose Mourinho, ameziita kuwa ni uzushi taarifa zinazomuhusisha na kibarua cha kuinoa Real Madrid.
Waandishi wa habari walimuuliza Mourinho juu ya...
MERSEYSIDE, England
BABA mzazi wa Alexis Mac Allister, Carlos, amesema kiungo huyo wa Liverpool kwa sasa haifikirii klabu yoyote zaidi ya 'Majogoo' hao wa Anfield.
Carlos,...
LONDON, Uingereza
KIUNGO wa zamani wa Arsenal, Emmanuel Petit, amesema ni jambo lisiloepukika kwa Mikel Arteta kuondoka klabuni hapo.
Wakati huo huo, Mfaransa huyo amemshauri Arteta...
Na mwandishi wetu, Gazetini
HUENDA ukawa unachukulia poa, lakini tabia ya kufuatilia kila anachoweka mpenzi wako wa zamani (ex) huko mitandaoni kunaweza kukusababisha matatizo ya...
LUSAKA, Zambia
FAMILIA ya Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu, imekanusha madai kuwa mwanasiasa huyo alikuwa kwa sumu.
Lungu hajazikwa tangu alipofariki Juni, 2025 akiwa...
MADRID, Hispania
NI tofauti ya pointi mbili tu. Real Madrid wako kileleni mwa msimamo, wakati Barcelona wako nyuma yao wakiwa na pointi 58, huku kila...
WASHINGTON DC, Marekani
VATICAN imeweka wazi kuwa haitakuwa sehemu ya Bodi ya Amani ya Rais Donald Trump, licha ya kukiri kupokea mwaliko.
Awali, Bodi hiyo ililenga...