Ads: info@gazetini.co.tz |
25.6 C
Dar es Salaam

Author: gazetiniAdmin_1

Viwanja vya soka vikubwa zaidi duniani

LONDON, Uingereza UKIWA na uwezo wa kupokea mashabiki 132,000, Uwanja wa Narendra Modi ndiyo mkubwa zaidi katika ulimwengu wa mchezo wa soka. Uwanja huo uko...

Maktaba| Kiti kilivyosababisha ‘bifu’ la Henry, Nasri

Na mwandishi wetu, Gazetini MAKTABA ni safu mpya itakayokuwa ikikujia kupitia hapa GAZETINI, ikilenga kukupa simulizi za mikasa ya ndani na nje ya uwanja ya...

CAF yaipa Kenya siku 90 tu

NAIROBI, Kenya TIMU ya wakaguzi ya Shirikisho la Soka l Afrika (CAF) haijaridhishwa na kiwango cha maandalizi yaliyofanyika kwa ajili ya fainali zijazo za AFCON...

Madrid yabisha hodi UEFA ‘ishu’ ya Vinicius

MADRID, Hispania Mechi hiyo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya ilisimama kwa dakika 10 baada ya Vinicius kumlalamikia mwamuzi kuwa mchezaji wa Benfica, Gianluca Prestianni, amemwita...

Arsenal kuchomoa kinda Madrid

LONDON, Uingereza ARSENAL inaongoza katika mbio za kuiwania saini ya kinda wa Real Madrid,  Victor Valdepenas, kwa mujibu wa Gazeti la AS la Hispania. Nyota huyo...

Mastaa hawa wanajutia kuzihama timu zao

MERSEYSIDE, Uingereza UMESHAWAHI kusikia msemo wa 'usajili ni kamari'? Kwamba wakati mwingine mchezaji anayefanya vizuri akiwa na klabu moja anaweza 'kupotea' baada ya kuhamia kwingine. Mifano...

United, Chelsea zamkataa Klopp

LONDON, Uingereza KLABU za Manchester United na Chelsea zimeripotiwa kukanusha ripoti zinazodai kuwa zimewasiliana na kocha wa zamani wa Liverpool, Jurgen Klopp. Klopp, raia wa Ujerumani...

Mourinho: Madrid? Siwezi kurudi

LISBON, Ureno KOCHA wa Benfica, Jose Mourinho, ameziita kuwa ni uzushi taarifa zinazomuhusisha na kibarua cha kuinoa Real Madrid. Waandishi wa habari walimuuliza Mourinho juu ya...

Baba yake Mac Allister aifungia vioo Man United

MERSEYSIDE, England BABA mzazi wa Alexis Mac Allister, Carlos, amesema kiungo huyo wa Liverpool kwa sasa haifikirii klabu yoyote zaidi ya 'Majogoo' hao wa Anfield. Carlos,...

Petit: Arteta ataondoka Arsenal

LONDON, Uingereza KIUNGO wa zamani wa Arsenal, Emmanuel Petit, amesema ni jambo lisiloepukika kwa Mikel Arteta kuondoka klabuni hapo. Wakati huo huo, Mfaransa huyo amemshauri Arteta...

Utafiti: Kumfuatilia ‘ex’ wako ni hatari kwa afya yako

Na mwandishi wetu, Gazetini HUENDA ukawa unachukulia poa, lakini tabia ya kufuatilia kila anachoweka mpenzi wako wa zamani (ex) huko mitandaoni kunaweza kukusababisha matatizo ya...

Familia: Lungu hakulishwa sumu

LUSAKA, Zambia FAMILIA ya Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu, imekanusha madai kuwa mwanasiasa huyo alikuwa kwa sumu. Lungu hajazikwa tangu alipofariki Juni, 2025 akiwa...

Recent articles

spot_img