Na Mwandishi Wetu, Gazetini
KWA mujibu wa Serikali hadi Aprili 2026 jumla ya nyumba 2,512 zimeunganishwa na huduma ya gesi asilia katika mikoa ya Mtwara,...
BUJUMBURA, Burundi
MVUTANO wa kisiasa umeanza kuongezeka nchini Burundi baada ya vyama vikuu vya upinzani kutangaza kusitisha ushiriki wao katika uchaguzi wa rais wa mwaka...
JOHANNESBURG, Afrika Kusini
RAIS wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, anakabiliwa na presha mpya ya kisiasa baada ya Mahakama ya Katiba kuamua kuwa Bunge lilikosea kisheria...
GENEVA, Uswiz
Hofu imeendelea kuongezeka duniani kufuatia mlipuko wa virusi vya Hanta (Hantavirus) ulioripotiwa ndani ya meli ya kifahari ya kitalii ya MV Hondius, baada...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
MWAKA mmoja baada ya kuchaguliwa kuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Leo XIV, Mei 8, 202, ameendelea kuvuta hisia za...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limezindua rasmi zoezi la ulipaji fidia kwa wananchi wanaopisha utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa njia...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
NAIBU Waziri wa Nishati, Salome Makamba amesema hadi Aprili 2026, jumla ya nyumba 2,512 zimeunganishwa na miundombinu ya gesi asilia katika...
Na Ramadhan Hassan, Gazetini
Mbunge wa Viti Maalum anayewakilisha kundi la watu wenye ulemavu, Nasria Nasri Ally, ameishauri Serikali kujenga shule jumuishi katika kila mkoa...
Na Mwandishi wetu, Gazetini
TANZANIA imeanza rasmi safari mpya ya kihistoria katika sekta ya madini baada ya kuingia kwenye ramani ya dunia kama mzalishaji na...
Na mwandishi wetu, Gazetini
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), kwa kushirikiana na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) pamoja...
NEW YORK, Marekani
TAASISI ya Tafiti za Amani ya Stockholm nchini Sweden (SIPRI) imebaini kuwa manunuzi ya silaha za kivita duniani yamekuwa makubwa zaidi kuwahi...
WASHINGTON DC, Marekani
UMOJA wa Falme za Kiarabu (UAE) umetangaza kujitoa katika Umoja wa nchi zinazozalisha mafuta duniani (OPEC), hatua inayotafsiriwa kuwa ni ushindi mkubwa...