Ads: info@gazetini.co.tz |
30.2 C
Dar es Salaam

Author: gazetiniAdmin_1

John Stone: Nyota iliyofunikwa na majeraha Man City

MANCHESTER, Uingereza AMETANGAZA kuwa huu ni msimu wake wa mwisho kucheza Manchester City. Ni John Stone, beki wa kati wa kimataifa wa England. Stones atakuwa amemaliza...

Kuelekea uchaguzi mkuu Nigeria: Rais Tinubu ‘atatoboa’ urais 2027?

LAGOS, Nigeria NIGERIA itafanya Uchaguzi Mkuu wake mwaka 2027, huku suala la usalama likiendelea kuwa 'pasua kichwa' katika maeneo mengi ya Taifa hilo. Pia, utawala wa...

Sekta ya Madini Tanzania; bajeti 2026/2027

Na mwandishi wetu, Gazetini BUNGE la Jamhuru ya Muungano wa Tanzania, limeridhia na kupitisha bajeti ya Wizara ya Madini ya sh bilioni 174.9 kwa Mwaka...

Changamoto ya afya ya akili kwa wajawazito

Na mwandishi wetu, Gazetini CHANGAMOTO ya afya ya akili ni moja ya maeneo nyeti kwa sasa, ikipewa umuhimu mkubwa kutokana na athari zake si tu...

Upinzani kumng’oa madarakani Benjamin Netanyahu?

JERUSALEM, Israel WAZIRI Mkuu wa Israel, Banjamin Netanyahu, anakabiliwa na upinzani mkali katika Uchaguzi Mkuu ujao utakaofanyika mwishoni mwa Oktoba, 2026. Ni baada ya vyama vikubwa...

Arsenal, Atletico kumaliza ubishi nusu fainali Ligi ya Mabingwa

LONDON, Uingereza ARSENAL watakuwa ugenini nchini Hispania kuwakabili Atletico Madrid katika mchezo wa nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya utakaochezwa kesho Aprili 29, 2026. Baada...

WHO: Vita vya Iran ‘pasua kichwa’ sekta ya afya

TEHRAN, Iran WIZARA ya Afya ya Iran imeeleza kuwa watu zaidi ya 1,300 wamefariki na wengine zaidi ya 9,000 kujeruhiwa tangu nchi hiyo ilipoingia kwenye...

AI yaanza kuchukua kazi za watu

Na mwandishi wetu, Gazetini DUNIA inaendelea kushuhudia mageuzi makubwa ya teknolojia yanayobadilisha namna shughuli mbalimbali zinavyotekelezwa kila siku, huku sehemu kubwa ya maendeleo hayo ikilenga...

Mamelodi V Fa Rabat: ‘Litakufa jitu’ fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika

CAIRO, Misri MAMELODI Sundowns ya Afrika Kusini dhidi ya vigogo wa soka la Morocco, FA Rabat, katika mtanange wa kukata na shoka wa fainali ya...

Hatua za Tanzania katika kutokomeza Malaria

Na mwandishi wetu, Gazetini TANZANIA imepiga hatua kubwa katika kupunguza athari za malaria, huku takwimu za hivi karibuni zikionyesha kupungua kwa vifo, maambukizi na wagonjwa...

Siku ya Usalama kazini 2026: Mambo muhimu kujua

Na mwandishi wetu, Gazetini SERIKALI imesema jumla ya watu 3,557 wamepata ajali wakiwa kazini katika kipindi cha miaka mitatu kuanzia 2023 hadi 2025, huku watu...

Watoto 75,500 nchini kuchunguzwa Sikoseli

Na mwandishi wetu, Gazetini JUMLA ya watoto na vijana wapatao 75,500 wanatarajiwa kufanyiwa uchunguzi wa ugonjwa wa selimundu (sikoseli) ili kubaini mapema hali zao za...

Recent articles

spot_img