Ads: info@gazetini.co.tz |
26.2 C
Dar es Salaam

Author: gazetiniAdmin_1

Kuelekea Kombe la Dunia 2026: Algeria (8)

ALGIERS, AlgeriaKATIKA viwango vya ubora vya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), vigogo hao wa Kaskazini mwa Afrika wako nafasi ya 35. Waliwahi kufika...

Kuelekea Kombe la Dunia 2026: Mexico (7)

MEXICO CITY, MexicoMWAKA 2006, Mexico ilikuwa katika nafasi ya nne kwenye viwango vya ubora wa soka vya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA). Kwa...

Kuelekea Kombe la Dunia 2026: Canada (6)

TORONTO, CanadaNI baada ya ushindi dhidi ya Panama, ndipo timu ya soka ya taifa ya Canada ilipojihakikishia nafasi ya kushiriki fainali zijazo za Kombe...

Kuelekea Kombe la Dunia 2026: Marekani (5)

LOS ANGELES, MarekaniTIMU ya soka ya taifa ya Marekani itashiriki fainali za Kombe la Dunia za mwakani ikiwa inashika nafasi ya 14 katika viwango...

Kuelekea Kombe la Dunia 2026: Japan (4)

TOKYO, JapanNI moja ya timu zilizofuzu na itakuwa miongoni mwa zile 48 zitakazokwenda kwenye fainali za Kombe la Dunia za mwakani.Japan inashika nafasi ya...

Kuelekea Kombe la Dunia 2026: Argentina (3)

LONDON, UingerezaARGENTINA inashika nafasi ya pili katika viwango vya ubora wa soka dunaini. Imeporomoka kwa nafasi moja kwani ilikuwa ya kwanza Julai, mwaka huu.'La...

Kuelekea Kombe la Dunia 2026: Uzbekistan (2)

LONDON, UingerezaKWA viwango vya sasa vya ubora wa soka vya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), Uzbekistan inashika nafasi ya 50.Uzbekistan, maarufu kwa jina...

Kuelekea Kombe la Dunia 2026: Uholanzi (1)

AMSTERDAM, UholanziTIMU ya soka ya taifa ya Uholanzi, maarufu kwa jina la 'Oranje', nayo itakwenda katika fainali zijazo za Kombe la Dunia za mwakani.Uholanzi...

Mane afunguka alivyoikataa Man United

MANCHESTER, EnglandMSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Senegal, Sadio Mane, amesema alikataa ofa ya Manchester United kabla ya kutua Liverpool.Mane alijiunga na Liverpool mwaka 2016 kwa...

Odegaard fiti kuivaa Tottenham

LONDON, UingerezaKIUNGO wa Arsenal, Martin Odegaard, amepona majeraha yake na huenda akaikabili Tottenham katika mchezo wa Ligi Kuu ya England wa Jumapili ya wiki...

Meya ahukumiwa kifungo cha maisha

MANILA, UfilipinoMAHAKAMA Kuu nchini Ufilipino imemuhukumu kifungo cha maisha gerezani mwanasiasa maarufu na Meya wa zamani, Alice Guo.Guo aliyekuwa Meya wa Bamban, ameangukiwa na...

Zelenskyy: Tuko tayari kumaliza vita na Urusi

KYIV, UkraineRAIS wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy, amesema Serikali yake iko tayari kushirikiana na Marekani katika jitihada za kumaliza mgogoro na Urusi.Hivi karibuni, Ikulu ya...

Recent articles

spot_img