Ads: info@gazetini.co.tz |
29.2 C
Dar es Salaam

Author: gazetiniAdmin_1

Mahakama yamng’oa ofisini Mwanasheria Mkuu

MADRID, HispaniaMWANASHERIA Mkuu wa Serikali ya Hispania, Alvaro Garcia Ortiz, ametakiwa na Mahakama Kuu kukaa kando baada ya kukutwa na hatia katika mashitaka ya...

Usiyoyajua kuhusu ‘playoff’ inayoisubiri DRC

LONDON, UingerezaMACHI 31, mwakani, ndipo zitakapopatikana timu zote 48 zitakazoshiriki fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika katika mataifa matatu; Marekani, Canada na Mexico.Kufikia sasa,...

Wakali wa mabao kufuzu Kombe la Dunia

Na mwandishi wetu, GazetiniFAINALI za Kombe la Dunia zimekuwa na rekodi nyingi, ikiwamo ile maarufu ya wafungaji bora wa muda wote wa mechi za...

Soma hapa maajabu ya Haiti kufuzu Kombe la Dunia

Na mwandishi wetu, GazetiniTIMU ya taifa ya Haiti nayo imefanikiwa kufuzu fainali za Kombe la Dunia za mwakani katika mazingira yaliyowashangaza wengi.Haiti, ambao hii...

Casemiro; Mashine iliyozaliwa upya United, Brazil

RIO, BrazilMIEZI 18 iliyopita, beki wa zamani wa Liverpool na timu ya taifa ya England 'Three Lions', Jamie Carragher alikuwa mbele ya kamera za...

WHO: Dunia imeshindwa ukomesha ukatili dhidi ya wanawake

Na Mwandishi Wetu, Gazetini SHIRIKA la Afya Duniani (WHO) likishirikiana na wadau wa Umoja wa Mataifa limetoa ripoti muhimu leo jijini Geneva, Uswisi, ikibainisha kuwa...

Pochettino bado hali tete Marekani

LOS ANGELES, MarekaniBAADA ya timu ya soka ya taifa ya Marekani kuishia hatua ya makundi katika fainali za Kombe la Dunia za mwaka 2022,...

Mastaa 12 hawa ‘out’ Kombe la Dunia 2026

LONDON, UingerezaFAINALI za Kombe la Dunia za mwakani ziko njiani, ikiwa ni kwa mara ya kwanza michuano hiyo itashuhudia timu 48 zikishiriki.Miongoni mwa timu...

Curacao; Taifa dogo zaidi Kombe la Dunia 2026

LONDON, UingerezaKISIWA cha Curacao kimeandika historia ya kuwa taifa dogo zaidi kukata tiketi ya kushiriki fainali zijazo za Kombe la Dunia.Awali, rekodi hiyo ilikuwa...

DRC na safari ya jasho, damu kuwania tiketi Kombe la Dunia 2026

Na mwandishi wetu, GazetiniTIMU ya soka ya taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) itaiwakilisha Afrika katika mchujo wa mwisho wa kupata timu...

Lewandowski aliombwa asifunge mabao

CATALUNYA, HispaniaKATIKA kitabu chake kipya, straika wa Barcelona, Robert Lewandowski, amefichua alivyoitwa na mabosi wa klabu hiyo na kumuomba asifunge mabao.Kupitia kitabu hicho kiitwacho...

WHO: Wanawake milioni 840 wamepitia unyanyasaji wa kijinsia

NEY YORK, MarekaniRIPOTI mpya ya Shirika la Afya ya Umoja wa Mataifa (WHO) imeeleza kuwa kati ya wanawake watatu, basi mmoja atakuwa amewahi kufanyiwa...

Recent articles

spot_img