PARIS, Ufaransa
POLISI nchini Ufaransa wamelazimika kuingilia kati maandamano makubwa yanayoongozwa na wanafunzi wanaolalamikia ubora wa elimu. Maandamano hayo yamesababisha shule zaidi ya 700 kutokuendelea...
KYIV, Ukraine
SHAMBULIZI la Urusi limeshambulia na kuharibu daraja kubwa la pili mjini Kyiv, ukiwa ni mwendelezo wa vita vya nchi hizo vilivyodumu kwa miaka...
CATALUNYA, Hispania
KLABU ya Barcelona inamuona staa wa Club Brugge ya Ubelgiji, Nicolo Tresoldi, kama mshambuliaji sahihi wa kusajiliwa ifikapo Januari, 2027.
Barcelona walijaribu kumsajili straika...
MANCHESTER, Uingereza
KLABU ya Manchester United haijaachana na mpango wake wa kumsajili mpachikaji mabao tishio wa Crystal Palace, Jean-Philippe Mateta.
Hata hivyo, taarifa zinaeleza kuwa Man...
LONDON, Uingereza
KLABU ya Arsenal iko kwenye mawindo ya kiungo wa pembeni wa Granada ya Hispania, Owen Emeka.
Wakati huo huo, Newcastle United na Everton ni...
LONDON, Uingereza
KIUNGO wa zamani wa Chelsea, Craig Burley, amemtaka Cristiano Ronaldo kukubaliana na ukweli, kwamba kwa sasa si mchezaji muhimu kwenye kikosi cha timu...
LONDON, Uingereza
BEKI wa timu ya Taifa ya Argentina, Cristian Romero, amefichua kuwa Lionel Messi ndiye aliyempendekeza kupewa kitambaa cha unahodha wa kikosi hicho.
Romero ameyasema...
MILAN, Italia
NYOTA wa AC Milan, Zachary Athekame, ameweka wazi kuwa ameachana na wazo lake la kuitumikia timu ya Taifa ya Nigeria 'Super Eagles'.
Shirikisho la...
MADRID, Hispania
BEKI wa Real Madrid, Marc Cucurella, amesimama na Jose Mourinho akisema bado ni mapema mno kuanza kumkosoa kocha huyo wa kimataifa wa Ureno.
Kwa...
MANCHESTER, Uingereza
KOCHA wa zamani wa Manchester City, Pep Guardiola, huenda akarejea klabuni hapo hivi karibuni.
Kwa mujibu wa gazeti la Mirror, Guardiola raia wa Hispania...
Na mwandishi wetu, Gazetini
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, amesema Mpango wa Ufadhili wa Uunganishaji Umeme kwa Wananchi unaotekelezwa...