Na mwandishi wetu, Gazetini
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, amesema Mpango wa Ufadhili wa Uunganishaji Umeme kwa Wananchi unaotekelezwa...
Na Faraja Mulungu, Gazetini
KAMPUNI ya Lake Energies imezindua mfumo wa kidijitali unaowawezesha wateja kujihudumia wenyewe katika vituo vya mafuta, hatua inayolenga kupunguza muda wa...
Na Derick Milton, Gazetini-Simiyu
UIBUAJI wa miradi ya maendeleo usiozingatia ushirikishwaji wa wadau unatajwa kuwa moja ya sababu za kutokufanya vizuri kwa baadhi ya miradi...
Na mwandishi wetu, Gazetini-Njombe
TUME ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) imewataka viongozi na watumishi wa vyama vya ushirika nchini kuepuka vitendo vya ubadhilifu na...
Na Malima Lubasha, Gazetini
SERENGETI. MKAZI wa Kitongoji cha Kwirambo, Kijiji cha Bonchugu, Tarafa ya Rogoro, Wilaya ya Serengeti mkoani Mara, Magige Ryoba (38), amefariki...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
MASHABIKI wa soka nchini bado hawajavutiwa na mwenendo wa timu yao ya Taifa ‘Taifa Stars’ tangu ilipoanza kunolewa na kocha wa...
MANCHESTER, Uingereza
KLABU ya Manchester City iko kwenye presha kubwa kutokana na mashitaka inayokabiliwa nayo. Mashitaka ya kukiuka nidhamu ya matumizi ya fedha. Huenda ikakatwa...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
SEKTA ya elimu imekuwa na tija kubwa katika maeneo ya mtu binafsi, jamii na taifa kwa ujumla. Katika taifa lololote, mfumo...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
WATU 714,921 waliotarajiwa kupata maji ya uhakika, hawanufainiki na huduma hiyo, kwa mujibu wa Ripoti ya Taasisi ya Uwajibikaji wa Umma...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
TAASISI ya Uwajibikaji wa Umma kupitia Ripoti yake ya Mwaka 2024-25, imebaini uhaba wa asilimia 54.7 ya wahudumu kwenye sekta...
LOS ANGELES, Marekani
DOUGLAS Stewart Carter mwenye umri wa miaka 71, amerejea uraiani baada ya kuachiwa kwa dhamana. Ni baada ya miaka 41 ya kusota...
LONDON, Uingereza
NDANI ya miaka miwili tu, Johan Manzambi ametoka kuwa mchezaji asiyefahamika hadi kuingia kwenye rada za klabu kadhaa kubwa za Ulaya na huenda...