NEW YORK, Marekani
MLINDA mlango wa timu ya soka ya Cape Verde, Vozinha, amesema kutokuwepo uwanjani kwa mama yake ndiyo sababu ya kilio chake baada...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
UNAJIULIZA kwanini hujapigiwa simu ya kuitwa kazini licha ya kuhisi ulifanya vizuri Siku ya usahili (interview)? Tulia.
Huenda tatizo si uwezo wako...
WASHINGTON DC, Marekani
RAIS wa Marekani, Donald Trump, ameitangazia dunia kumalizika kwa vita vyao na Iran vilivyodumu kwa siku zaidi ya 100 huko Mashariki ya...
LOS ANGELES, Marekani
ACHANA na milionea. Sahau pia kuhusu bilionea. Mfanyabiashara maarufu wa Marekani, Elon Musk, amekuwa trilionea kwa kwanza hapa duniani.
Musk amefikia hadhi hiyo...
Na Hassan Mwasha Gazetini
WIKI kadhaa zilizopita Ofisa habari wa zamani wa klabu za Simba na Yanga, Haji Manara, ameteuliwa na Waziri wa Habari, Sanaa,...
Na Malima Lubasha, Gazetini- Serengeti
MWANAMKE mmoja mjamzito, Bhoke Mahumo (28), mkazi wa Kijiji cha Mbirikili, Wilaya ya Serengeti mkoani Mara, amenusurika kufa baada ya...
MANCHESTER, Uingereza
ANGEL di Maria alitua Manchester United mwaka 2014 akitokea Real Madrid, usajili wake wa Pauni milioni 59.7 ukivunja rekodi katika soka la Uingereza.
Chanzo...
MERSEYSIDE, Uingereza
LIVERPOOL waliuanza msimu huu wa 2025-26 wakiwa na matarajio makubwa ya kufanya vizuri baada ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya England (EPL)...
Na mwandishi wetu, Gazetini
CHINA ndiyo nchi inayoongoza kwa matumizi ya kiwango kikubwa cha umeme duniani, ikifuatiwa na Marekani, India na Urusi, kwa mujibu wa...
TEHRAN, Iran
MAMLAKA za Iran zimetangaza kuwa kiongozi wake Mkuu aliyeuawa Februari, 2026, Ali Khamenei, atazikwa mwezi ujao, Julai 9, mjini Mashhad.
Awali, Ali Khamenei alitarajiwa...
PORT-AU-PRINCE, Haiti
HAITI ni Kisiwa kilichopo Caribbean, kikifahamika kwa hali yake mbaya ya usalama kutokana na machafuko yanayosababishwa na utitiri wa magenge ya uhalifu yaliyotapakaa...