Ads: info@gazetini.co.tz |
21.9 C
Dar es Salaam

Stay tuned

Subscribe to our latest newsletter and never miss the latest news!
Our newsletter is sent once a week, every Monday.

Latest news

Mazito yafichuka ‘urafiki’ wa M23, Rwanda

NAIROBI, Kenya RWANDA inashirikiana kwa karibu na wapiganaji wa M23 kuteka raia, hasa vijana na watoto, na kuwaingiza katika kundi hilo linalopigana na wanajeshi wa...

Rekodi 5 zilizochomoza Kombe la Dunia 2026

NEW YORK, Marekani FAINALI za Kombe la Dunia zina siku chache tu tangu zianze Juni 11, 2026, zikifanyika katika mataifa matatu; Marekani, Canada na Mexico. Licha...

Alonso aanza kuisuka Chelsea tishio

LONDON, Uingereza CHELSEA walimaliza msimu wa 2025-26 wakiwa na machungu ya kukosa tiketi ya kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya (2026-27). Sasa, baada ya kumaliza msimu huo...

Tottenham ya msimu ujao tamu balaa

LONDON, Uingereza BAADA ya kunusurika kushuka daraja msimu wa 2025-26 wa Ligi Kuu ya England uliomalizika hivi karibuni, Tottenham imeanza maandalizi ya kuja kivingine. Chini ya...

Renard apewa mikoba ya kocha Tunisia

MEXICO CITY, Mexico SHIRIKISHO la Soka la Tunisia limemtangaza Herve Renard kuwa kocha mpya wa timu yake ya Taifa. Renard (57), amepewa ajira hiyo akichukua nafasi...

Ndidi kuondoka Uturuki, kutua Saudia

ISTANBUL, Uturuki NAHODHA wa timu ya soka ya Taifa ya Nigeria (Super Eagles), Wilfred Ndidi, ataondoka Besiktas ya Uturuki na kujiunga na moja ya klabu...

Pogba atoa neno kuhusu Yamal

PARIS, Ufaransa KIUNGO wa zamani wa Manchester United, Paul Pogba, amemtaja Lamine Yamal wa Barcelona katika orodha yake ya wachezaji bora watano duniani. Pogba amayesema hayo...

Ronaldo de Lima amvaa Ancelotti kisa sare

TORONTO, Canada MKONGWE wa timu ya soka ya Taifa ya Brazil, Ronaldo Nazario, amekosoa mbinu za kocha Carlo Ancelotti baada ya sare yao ya bao...

Hawa hapa mastaa wapya Arsenal

LONDON, Uingereza MAPEMA tu! Kwa taarifa yako, Arsenal wameashaanza mipango ya kuutetea ubingwa wa Ligi Kuu ya England (EPL) msimu ujao (2026-27). Wakati huu fainali za...

Tunisia ya Herve Renard kuishangaza dunia?

MEXICO CITY, Mexico BAADA ya kumtimua Sabri Lamouchi, timu ya soka ya Taifa ya Tunisia iko chini ya kocha maarufu raia wa Ufaransa, Herve Renard. Lamouchi...

Serikali yawekeza Sh Bilioni 10.5 kuimarisha umeme wilaya tano

Na mwandishi wetu, Gazetini WANANCHI wa Wilaya za Gairo, Mpwapwa, Kongwa, Chamwino na Kiteto wanatarajiwa kunufaika na huduma ya umeme wa uhakika zaidi kufuatia kukamilika...

Mkenda: Hakuna mtoto atakayeachwa nyuma katika elimu

Na Ramadhan Hassan, Gazetini-Dodoma WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, amesema Serikali itaendelea kuhakikisha hakuna mtoto anayekosa haki ya kupata elimu, ikiwemo...