Na mwandishi wetu, Gazetini
MIAKA ya hivi karibuni imeshuhudia migogoro mingi ya wanamuziki wa Bongo Fleva na mabosi wa lebo zao.
Mfano wa hivi karibuni ni hiki kinachoendelea sasa kati ya msanii Mac Voice na lebo ya Next...
Na mwandishi wetu, Gazetini
NI rahisi kuona watu wakikuwekea chuki na wivu kwa vile tu umefanikiwa, bila kujua umepitia shida nyingi kufika hapo ulipo. Wanachukulia poa tu!
Akiwa hana baba, pesa wala tumaini, hakuna aliyejua kama leo hii...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kaskazini Pemba linachunguza tukio la kujinyonga kwa watoto wawili wa kike wenye umri wa miaka 11,...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
WATU wasiojulikana wamechoma moto nyumba ya Polisi iliyopo Kata ya Chitete, Kijiji cha Ikumbilo, Wilaya ya Ileje mkoani Songwe, na kuteketeza...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini Songwe
Jeshi la Polisi mkoani Songwe linawashikilia watu saba, wakiwamo askari polisi wawili na madereva wa treni kwa tuhuma za kuhusika...
Na Mwandishi Wetu
Jeshi la Polisi Tanzania limetangaza msamaha wa kutokushtakiwa kwa wananchi wote wanaomiliki silaha kinyume cha sheria endapo watasalimisha silaha hizo kwa hiari...
Na Mwandishi Wetu
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kaskazini Pemba, linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kujifanya askari Polisi wa kitengo cha uchunguzi wa magari...
Na Mwandishi Wetu
Jeshi la Polisi nchini limekabidhiwa mashine maalumu ya kuweka alama silaha zilizopo nchini ikiwa ni hatua mbalimbali zinazochukuliwa katika kuzuia uzagaaji wa...
Na Mwandishi Wetu
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara linamshikilia Jumanne Kibagi, mkazi wa kijiji cha Nyarufu wilayani Bunda kwa tuhuma za kumuua mama mkwe...
Na Mwandishi Wetu
Jeshi la Polisi Wilaya ya Babati mkoani Manyara limewataka vijana kuacha tabia ya kukaa vijiweni na kucheza pool table asubuhi badala yake wajishughulishe...
Na Mwandishi Wetu
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga, limekamata boti aina ya fibre, iliyokuwa ikisafirisha dawa za kulevya aina ya mirungi kutoka nchini Kenya...
Na Mwandishi Wetu
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema limepokea taarifa za kuchukuliwa na watu asiowafahamu na kurejeshwa kwa mwanamke aliyejitambulika kwa jina la...
Na Mwandishi Wetu
Jeshi la Polisi mkoani Kagera linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kukutwa na viungo vinavyohisiwa kuwa ni vya binadamu katika nyumba moja...
Na Mwandishi Wetu
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara linamshikilia Victor Fransis Thomas (39), mkulima na mkazi wa Kitongoji cha Kadudu, Kijiji cha Lupaso, Wilaya...