Ads: info@gazetini.co.tz |
32.2 C
Dar es Salaam

Michezo

Messi apachika manne ‘wakiua’ 7

MIAMI, Marekani NAHODHA wa Inter Miami ya Ligi Kuu ya Marekani (MLS), Lionel Messi, ameingia kambani mara nne katika ushindi wa mabao 7-1 walioupata dhidi...

Huyu kuziba pengo la Alvarez pale Arsenal

LONDON, Uingereza WASHIKA Bunduki wa London, Arsenal, wameingia kwenye mazungumzo ya kumsajili staa wa Lille ya Ufaransa, Matias Fernandez-Pardo. Licha ya Arsenal kuitaka saini yake, pia...

Grealish atakiwa Sunderland

LONDON, Uingereza KLABU ya Sunderland imeanza kuiwinda saini ya winga wa kimataifa wa England, Jack Grealish, kwa mujibu wa mtandao wa Football Insider. 'Black Cats' wanaitaka...

Moyes abeba lawama za mashabiki Everton

MERSEYSIDE, Uingereza KOCHA wa Everton, David Moyes, ameungana na mashabiki wa timu hiyo akisema walikuwa sahihi kwa kile walichokifanya wakati wa mchezo wao wa sare...

Man City yatua kwa Gakpo

MANCHESTER, Uingereza KLABU ya Manchester City imeanza mazungumzo na Liverpool ikijaribu kuishawishi iwauzie winga raia wa Ureno, Cody Gakpo. Man City imechukua hatua huku dirisha kubwa...

Jesus sasa kutimkia Atletico

LONDON, Uingereza MPACHIKAJI mabao wa Arsenal raia wa Brazil, Gabriel Jesus, yuko mbioni kujiunga na wakongwe wa La Liga, Atletico Madrid. Mtaalamu wa habari za usajili...

Ronaldo mfungaji bora wa muda wote Al-Nassr

RIYADH, Saudi Arabia NAHODHA wa Al-Nassr, Cristiano Ronaldo, ameweka rekodi ya kuwa mfungaji bora wa muda wote wa klabu hiyo. Ronaldo ameandika historia hiyo jana Agosti...

Kumekucha Ligi ya Mabingwa Ulaya 2026-27

MONACO, Ufaransa DROO ya ratiba ya Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu huu wa 2026-27 ilichezeshwa jana, Agosti 27, 2026 mjini Monaco, Ufaransa. Ligi hiyo kwa...

Desailly hamkubali hata kidogo kipa Chelsea

LONDON, Uingereza LEJENDARI wa Chelsea, Marcel Desailly, amesema kama kuna mchezaji asiyetakiwa kuingia tena kwenye kikosi cha timu hiyo, basi ni kipa Robert Sanchez. Kauli ya...

Man United njia nyeupe kwa Adarabioyo

MANCHESTER, Uingereza KLABU ya Manchester United imejiweka kwenye nafasi nzuri ya kuinasa saini ya beki wa Chelsea, Tosin Adarabioyo. Katika dirisha kubwa hili la usajili wa...

Chelsea na mkosi wa jezi namba 9

LONDON, Uingereza ILIMCHUKUA sekunde 31 pekee straika wa Kibrazil, Joao Pedro, kuifungia bao Chelsea katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Fulham, mchezo wa Ligi Kuu...

Xavi Hernandez kurejesha heshima ya Uholanzi?

ZEIST, Uholanzi KIUNGO na kocha wa zamani wa Barcelona, Xavi Hernandez, ndiye aliyekabidhiwa benchi la ufundi kwa ajili ya kuinoa timu ya soka ya Taifa...

Recent articles