Ads: info@gazetini.co.tz |
22.2 C
Dar es Salaam

Michezo

Hii hapa mashine iliyotua Yanga kuipambania familia yake

Na mwandishi wetu, Gazetini KLABU ya Yanga leo Alhamisi Januari 15, 2026, imemtambulisha straika wa kimataifa wa Angola, Laurindo Dilson Maria Aurelio ‘Depu’, kupitia kurasa...

Ligi Kuu Bara 2025-26 … Dodoma Jiji v Singida Black Stars

Na mwandishi wetu, Gazetini NI Ijumaa, Januari 16, 2026, ambapo timu hizo zitakutana zikiwa 'zinapumulia mashine' msimu huu wa Ligi Kuu Bara. Dodoma Jiji, wenyeji...

Wachezaji Comoro waipongeza Taifa Stars

Na Mwandishi Wetu, Gazetini BALOZI wa Tanzania nchini Comoro, Saidi Yakubu leo amekutana na  wachezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Comoro ambao wameipongeza...

Carrick ataiokoa United au kamari nyingine Old Trafford?

MANCHESTER, Uingereza HATIMAYE Manchester United imetangaza kuwa kiungo wake wa zamani, Michael Carrick, ndiye atakayeinoa timu hiyo hadi mwishoni mwa msimu huu. Je, Carrick atafanikiwa au...

VAR inavyosababisha majanga EPL

LONDON, Uingereza MSIMU wa Ligi Kuu ya England (EPL) umeshuhudia teknolojia ya VAR ikifanya makosa mengi, hivyo kuwaingiza 'chaka' waamuzi na kuzigharimu timu mbalimbali. Kwa mujibu...

Bellingham: Sijahusika Alonso kufukuzwa Madrid

MADRID, Hispania KIUNGO wa Real Madrid, Jude Bellingham, amekanusha kuwa alihusika kuushawishi uongozi wa klabu hiyo kumfuta kazi kocha Xabi Alonso. Alonso raia wa Hispania, alifungashiwa...

Thomas Gronnemark; Silaha ya Liverpool iliyohamia Arsenal

LONDON, Uingereza ALIKUWA na mchango mkubwa wakati Liverpool ilipokuwa ya moto chini ya kocha wa kimataifa wa Ujerumani, Jurgen Klopp. Liverpool iliyotwaa taji la Ligi Kuu...

Yanga bingwa Mapinduzi Cup 2026

Na Mwandishi Wetu, Gazetini YANGA imetwaa ubingwa wa kombe la Mapinduzi ikiifunga Azam FC kwa mikwaju ya penalti 5-4 katika mchezo wa fainali uliopigwa Januari...

Yacouba atambulishwa Mbeya City

Na Mwandishi Wetu, Gazetini NYOTA wa zamani wa Yanga, raia wa Burkina Faso, Yacouba Songne, ametambulishwa  rasmi na  klabu ya Mbeya City akiwa miongoni mwa...

Barca yamrudisha Cancelo

CATALUNYA, HispaniaKLABU ya Barcelona imetangaza usajili wa beki wake wa zamani, Joao Cancelo, na tayari amekabidhiwa jezi namba 2.Barcelona imemchukua nyota huyo kwa mkopo...

Alonso ataka Romero asajiliwe ‘fasta’

MADRID, Hispania KOCHA wa Real Madrid, Xabi Alonso, amewataka mabosi wa klabu hiyo kuharakisha usajili wa beki wa Tottenham, Cristian Romero. Romero ndiye mchezaji anayelipwa mshahara...

Allan Okello rasmi atua Yanga

Klabu ya Yanga imetangaza rasmi kumsajili kiungo mshambuliaji raia wa Uganda, Allan Okello kutoka Vipers baada ya kumtambulisha usiku huu..

Recent articles