Ads: info@gazetini.co.tz |
22.2 C
Dar es Salaam

Michezo

‘Ndoa ya Xabi Alonso na Real Madrid yavunjika’

MADRID, Hispania KLABU ya Real Madrid ya Hispania leo Jumatatu, Januari 12, 2026, imethibitisha kuachana na kocha wake mkuu, Xabi Alonso, baada ya pande zote...

Mbeumo afunguka kilichowaponza AFCON

YOUNDE, Cameroon KIWANGO kibovu katika kipindi cha kwanza cha mchezo wao dhidi ya Morocco ndicho kilichoigharimu timu ya taifa ya Cameroon, kwa mujibu wa Bryan...

Azam v Yanga; Ibenge dhidi ya ‘ukuta’ wa Goncalves

Na Hassan Mwasha, Gazetini NI Yanga na Azam FC ndizo zitakazofunga pazia la msimu huu wa michuano ya Kombe la Mapinduzi huko Zanzibar. Timu hizo...

Carrick, Solskjaer nani apewe jahazi United?

MANCHESTER, Uingereza KATI ya malejendari hao wa Manchester United, nani anafaa kupewa mikoba ya kuinoa timu hiyo hadi mwishoni mwa msimu huu? Michael Carrick, kama ilivyo...

Huyu ndiye kocha mpya United?

MANCHESTER, Uingereza JINA la Oliver Glasner wa Crystal Palace linapewa kipaumbele wakati huu mabosi wa Manchester United wakiwa wanajadili kocha anayefaa kuchukua mikoba ya Ruben...

Arsenal yajitosa kwa Tyjon

LONDON, Uingereza ARSENAL sasa imeingia mazima katika kuiwania saini ya kinda wa Blackburn Rovers, Igor Tyjon. Nyota huyo raia wa England ana umri wa miaka...

Man City yavunja rekodi ya miaka 66

MANCHESTER, Uingereza USHINDI wa mabao 10-1 dhidi ya Exeter City umeifanya Manchester City kuvunja rekodi ya Liverpool iliyodumu kwa miaka 66. Man City ya kocha Pep...

Nigeria v Morocco … Diaz, Osimhen nani kupasuka nusu fainali?

RABAT, Morocco WEKA kando nusu fainali ya Senegal na Misri. Nigeria dhidi ya Morocco ni vita nyingine kali ya kuisaka tiketi ya kuingia fainali msimu...

Senegal v Misri … Mane, Salah wana vita ya kisasi AFCON 2025

RABAT, Morocco UKIACHA vita ya Nigeria na Morocco, nusu fainali nyingine kali msimu huu wa fainali za AFCON ni ile itakayozikutanisha Senegal dhidi ya Misri. Ratiba...

Ethiopia yaomba uenyeji AFCON 2028

ADIS ABABA, Ethiopia SHIRIKISHO la Soka la Ethiopia (EFF) limetuma maombi ya kuziandaa fainali za Mataifa ya Afrika za mwaka 2028. Shirikisho la Soka Afrika (CAF)...

Kiungo akubali mkataba mpya Liverpool

MERSEYSIDE, Uingereza LIVERPOOL imefikia makubaliano na Dominik Szoboszlai, hivyo kiungo huyo atasaini mkataba mpya klabuni hapo. Szoboszlai alitua Anfield mwaka 2023 baada ya kuonesha kiwango bora...

Diaz aandika historia mpya AFCON

RABAT, Morocco MSHAMBULIAJI wa timu ya taifa ya Morocco, Brahim Díaz, amekuwa mchezaji wa kwanza katika historia ya fainali za Mataifa Afrika (AFCON) kufunga bao...

Recent articles