Ads: info@gazetini.co.tz |
23.2 C
Dar es Salaam

Michezo

Chelsea, City zagombea kinda Barcelona

LONDON, Uingereza CHELSEA imeungana na Manchester City na Borussia Dortmund zinazoiwania saini ya mshambuliaji chipukizi wa Barcelona, Dro Fernandez. Fernandez (18), anataka kuondoka Barcelona na hatua...

Maresca aibukia Real Madrid

MADRID, Hispania IMERIPOTIWA kuwa mabosi wa Real Madrid wameanza kumfikiria kocha aliyetimuliwa Chelsea hivi karibuni, Enzo Maresca. Wakati huo huo, Rais wa Madrid, Florentino Perez, ametajwa...

Arsenal macho kwa ‘Pedri wa Serbia’

LONDON, Uingereza WASHIKA Bunduki wa London, Arsenal, wanampigia hesabu kiungo wa kimataifa wa Serbia, Vasilije Kostov, ambaye uchezaji wake unafananishwa na ule wa staa wa...

Nigeria yaipiga Misri mshindi wa tatu AFCON 2025

CASABLANCA, Morocco TIMU ya taifa ya Nigeria 'Super 'Eagles' imeshika nafasi ya tatu msimu huu wa fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON 2025) baada ya...

Messi agoma kuondoka Inter Miami

MIAMI, Marekani SUPASTAA wa timu ya taifa ya Argentina, Lionel Messi, hana mpango wa kuondoka katika klabu ya Inter Miami ya Ligi Kuu nchini Marekani...

Man United yaitandika City, Carrick aendeleza rekodi

MANCHESTER, Uingereza KATIKA mchezo wa Ligi Kuu ya England uliochezwa Old Trafford leo Januari 17, 2026, Manchester United chini ya kocha mpya, Michael Carrick, imeifunga...

Gueye wa Simba ana balaa zito!

Na mwandishi wetu, Gazetini MTU wa kazi! Ndivyo unavyoweza kumwita mchezaji mpya wa Simba, Libasse Gueye, ambaye klabu hiyo imemtambulisha leo Januari 17, 2026. Nyota...

Carrick mikononi mwa Guardiola, atatoboa?

MANCHESTER, Uingereza NI wikiendi hii, Januari 17, 2026, ambapo Michael Carrick atapata mtihani wake wa kwanza mgumu atakapoiongoza Manchester United kuikabili Manchester City. Timu hizo zitakwaana...

Nani kuibuka mfungaji bora AFCON 2025?

RABAT, Morocco KUELEKEA mchezo wa fainali wikiendi hii, Januari 18, 2026, vita ya kuiwania tuzo ya mfungaji bora wa msimu huu wa fainali za Mataifa...

Simba yabeba kocha Mamelodi

Na mwandishi wetu, Gazetini KLABU ya Simba imeliimarisha benchi lake la ufundi kwa kumuajiri aliyekuwa kocha wa U-19 ya Mamelodi Sundowns, Kristopher Bergman. Bergman mwenye umri...

AFCON 2025 … Misri yang’oka ikiacha rekodi 5

RABAT, Morocco LICHA ya kuondoshwa katika fainali za Mataifa ya Afrika zinazoendelea huko Morocco, timu ya taifa ya Misri 'Mafarao' imeacha historia ya aina yake. Misri...

AFCON … Salah na ‘mkosi’ wa kupishana na Kombe

RABAT, Morocco USHINDI wa bao 1-0 waliopata Senegal dhidi ya Misri imeendeleza mkosi kwa Mohamed Salah katika ndoto yake ya kutwaa ubingwa wa fainali za...

Recent articles