Ads: info@gazetini.co.tz |
25.2 C
Dar es Salaam

Michezo

United, Chelsea zamkataa Klopp

LONDON, Uingereza KLABU za Manchester United na Chelsea zimeripotiwa kukanusha ripoti zinazodai kuwa zimewasiliana na kocha wa zamani wa Liverpool, Jurgen Klopp. Klopp, raia wa Ujerumani...

Mourinho: Madrid? Siwezi kurudi

LISBON, Ureno KOCHA wa Benfica, Jose Mourinho, ameziita kuwa ni uzushi taarifa zinazomuhusisha na kibarua cha kuinoa Real Madrid. Waandishi wa habari walimuuliza Mourinho juu ya...

Baba yake Mac Allister aifungia vioo Man United

MERSEYSIDE, England BABA mzazi wa Alexis Mac Allister, Carlos, amesema kiungo huyo wa Liverpool kwa sasa haifikirii klabu yoyote zaidi ya 'Majogoo' hao wa Anfield. Carlos,...

Petit: Arteta ataondoka Arsenal

LONDON, Uingereza KIUNGO wa zamani wa Arsenal, Emmanuel Petit, amesema ni jambo lisiloepukika kwa Mikel Arteta kuondoka klabuni hapo. Wakati huo huo, Mfaransa huyo amemshauri Arteta...

La Liga ni ‘weka tuweke’ mbio za ubingwa msimu huu

MADRID, Hispania NI tofauti ya pointi mbili tu. Real Madrid wako kileleni mwa msimamo, wakati Barcelona wako nyuma yao wakiwa na pointi 58, huku kila...

United yagoma kumwachia Rashford

MANCHESTER, Uingereza KLABU ya Barcelona sasa ina kazi ngumu kumbakiza Marcus Rashford baada ya Manchester United kusema straika huyo hauzwi. Barcelona ilimchukua kwa mkopo wa msimu...

Alvarez azitolea nje Arsenal, Chelsea

LONDON, Uingereza KLABU za Arsenal na Chelsea zimepata pigo kubwa baada ya watu wa karibu wa Julian Alvarez kusema nyota huyo anaitaka Barcelona. Ripoti zilizopo zinaeleza...

Mboga moto, ugali moto robo fainali CAF

RABAT, Morocco DROO ya hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho imechezeshwa leo Februari 17, 2026 mjini Rabat. Je, droo...

Mastaa wa soka waliostaafu mwaka 2026

LONDON, Uingereza NI miezi miwili pekee tangu mwaka 2026 ulipoanza na tayari kuna orodha ya mastaa wa soka waliotangaza kuachana na mchezo huo. Je, ni akina...

Brown: Bado sijaona kama Rooney

MANCHESTER, Uingereza UNAMKUMBUKA beki wa zamani wa Manchester United, West Brown? Alisifika kwa 'ukatili' wake ndani ya uwanja, hasa kwa washambuliaji tishio aliokabidhiwa kuwadhibiti. Brown aliyezaliwa...

Salah aendeleza ubabe England

MERSEYSIDE, Uingereza MOHAMED Salah amekuwa mchezaji pekee wa England aliyefunga na kutoa 'asisti' mara nyingi katika mchezo mmoja, kwa mujibu wa takwimu za tangu msimu...

Bosi EPL avamiwa, ajeruhiwa na majambazi

LONDON, Uingereza ALIYEWAHI kuwa mmiliki wa klabu ya Nottingham Forest ya Ligi Kuu ya England (EPL), Fawaz Al-Hasawi, anaendelea vizuri baada ya kuvamia na kujeruhiwa...

Recent articles