Na Winfrida Mtoi, Gazetini
BONDIA wa kimataifa wa Tanzania, Hassan Mwakinyo, ameweka bayana kuwa pambano lake la kesho dhidi ya Mnaigeria, Stanley Eribo litakuwa la...
LONDON, Uingereza
KLABU kadhaa za Ligi Kuu ya England (EPL), ikiwamo Bournemouth, zimeonesha nia ya kumsajili beki wa kati aliyepoteza namba katika kikosi cha Manchester...
MADRID, Hispania
KLABU ya Lyon ya Ligue 1 imethibitisha kukamilisha usajili wa mshambuliaji kinda wa Real Madrid, Endrick Felipe. Taarifa zinaeleza kuwa Lyon wamemchukua Mbrazil...
CATALUNYA, Hispania
BARCELONA imeanza harakati za kumsajili kinda wa Al Ahly ya Ligi Kuu nchini Misri, Hamza Abdelkarim.Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 17, amecheza...
MANCHESTER, Uingereza
KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola, ameweka wazi kuwa wachezaji wake wote watapimwa uzito, kabla ya mchezo wao dhidi ya Nottingham Forest. Timu...
LONDON, Uingereza
KWA mashabiki wa Ligi Kuu ya England (EPL), Sikukuu ya Krismas imekuwa na historia ya pekee kwao. Kivipi?Timu inayokuwa kileleni mwa msimamo wa...
RABAT, Morocco
KARNE hii ya 21 imeshuhudia vipaji vikubwa vya soka barani Afrika na sasa wanaoneshana kazi katika fainali za Mataifa ya Afrika za mwaka...
RABAT, Nigeria
KOCHA wa timu ya soka ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', Miguel Gamondi, ameweka wazi kuwa vijana wake hawatotanguliza hofu mbele ya Nigeria...