NAIROBI, Kenya
KOCHA wa timu ya soka ya taifa ya Kenya 'Harambee Stars', Benni McCarthy, amesema kupangwa kundi gumu kunaweza kutibua ndoto zao za kufanya...
Na mwandishi wetu, Gazetini
UONGOZI wa klabu ya soka ya Simba umeeleza kuguswa kwake na taarifa za kifo cha mwanachama wake maarufu, Is-haka Mukadam.
Mukadam, maarufu...
LONDON, Uingereza
LICHA ya kuhususishwa na Manchester United, Roberto De Zerbi anavutiwa zaidi na tetesi zinazomuhusisha na Tottenham.
De Zerbi, raia wa Italia mwenye umri wa...
NAIROBI, Kenya
VIGOGO wa Ligi Kuu ya Kenya, Sofapaka FC, wamefanya balaa zito kipindi hiki cha usajili wa dirisha dogo, ambapo imetema wachezaji 11.
Mkakati huo...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
WAZIRI Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba amekutana na Kamati ya Kitaifa ya Maandalizi ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2027) kwa...
RIYADH, Saudi Arabia
LICHA ya mkataba wake kumalizika mwaka 2027, huenda Cristiano Ronaldo akaondoka Al-Nassr mwishoni mwa msimu huu wa 2025-26.
Taarifa zilizopo zinadai kuwa nahodha...
Na Mwandishi Wetu
TIMU ya Coastal Union imetembeza kichapo cha mabao 4-1 kwa maafande wa Magereza Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara...
Na Winfrida Mtoi, Gazetini
KOCHA Mkuu wa timu ya Simba, Steve Barker ameweka wazi kuwa hakuna mechi rahisi ya Ligi Kuu, lakini wamejipanga kuhakikisha wanachukua...
LONDON, Uingereza
MCHEZO wa soka una historia kubwa ya kuwainua na kuwapa utajiri wachezaji wanaotoka katika familia za kimasikini.
Miongoni mwao ni mkongwe wa soka la...
LONDON, Uingereza
MAUZO ya jezi ni sehemu muhimu ya vyanzo vya mapato ya klabu za soka duniani kote, zikivuna mabilioni ya fedha kutokana na biashara...
Na Winfrida Mtoi, Gazetini
WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema kuwa muda wowote, kocha Miguel Gamondi atasaini rasmi mkataba wa kuifundisha...
MADRID, Hispania
KWA mujibu wa kocha wa Real Madrid, Alvaro Arbeloa, Kylian Mbappe ana mchango mkubwa kikosini, kama alivyokuwa Cristiano Ronaldo miaka kadhaa iliyopita.
Alberoa ametoa...