9.8 C
New York

Vikosi vya AFCON 2025 (2); Kundi B

Published:

Na mwandishi wetu, Gazetini

ZIMEBAKI siku chache tu kabla ya kuanza kwa fainali za Mataifa Afrika za mwaka huu (AFCON 2025) zitakazofanyika nchini Morocco. GAZETINI inakuletea vikosi vya wachezaji walioitwa kuziwakilisha timu zao za taifa katika michuano hiyo ya mwezi mmoja.

Comoro

Makipa: Mohamed El-Shenawy (Al Ahly), Ahmed El-Shenawy (Pyramids FC), Mostafa Shobeir (Al Ahly), Mohamed Sobhi (Zamalek).

Mabeki: Rami Rabia (Al-Ain / United Arab Emirates), Mohamed Hany (Al Ahly), Yasser Brahim (Al Ahly), Khaled Sobhi (Al Masry), Ahmed Eid (Al Masry), Hossam Abdelmaguid (Zamalek), Mohamed Ismail (Zamalek), Ahmed Fatouh (Zamalek), Mohamed Hamdy (Al Ahly).

Viungo: Marwan Attia (Al Ahly), Hamdy Fathi (Al Wakrah), Mohanad Lasheen (Pyramids FC), Mahmoud Saber (Pyramids FC), Mohamed Shehata (Zamalek), Emam Ashour (Al Ahly), Ahmed Sayed Zizo (Al Ahly), Mahmoud Trezeguet (Al Ahly), Ibrahim Adel (Al Jazira), Mostafa Fathi (Pyramids FC).

Washambuliaji: Mohamed Salah (Liverpool), Omar Marmoush (Manchester City), Mostafa Mohamed (FC Nantes), Salah Mohsen (Al Masry), Osama Faisal (Bank El Ahly).

Afrika Kusini

Makipa: Ronwen Williams (Mamelodi Sundowns), Ricardo Goss (Siwelele), Sipho Chaine (Orlando Pirates).
Mabeki: Khuliso Mudau (Mamelodi Sundowns), Thabang Matuludi (Polokwane City), Tylon Smith (Queens Park Rangers), Nkosinathi Sibisi (Orlando Pirates), Aubrey Modiba (Mamelodi Sundowns), Khulamani Ndamane (TS Galaxy), Siyabonga Ngezana (FCSB), Samukele Kabini (Molde), Mbekezeli Mbokazi (Orlando Pirates).

Viungo: Teboho Mokoena (Mamelodi Sundowns), Bathusi Aubaas (Mamelodi Sundowns), Thalente Mbatha (Orlando Pirates), Sphephelo Sithole (Tondela).

Washambuliaji: Oswin Appollis (Orlando Pirates), Mohau Nkota (Al Ettifaq), Tshepang Moremi (Orlando Pirates), Evidence Makgopa (Orlando Pirates), Lyle Foster (Burnley), Sipho Mbule (Orlando Pirates), Elias Mokwana (Al Hazem), Shandre Campbell (Club Bruges), Relebohile Mofokeng (Orlando Pirates).

Angola

Makipa: Neblu (Primeiro de Agosto), Hugo Marques (Petro de Luanda), Signori Antonio (Etoile Carouge).
Mabeki: Rui Modesto (Udinese), Eddie Afonso (Petro de Luanda), To Carneiro (FAR Rabat), Nurio Fortuna (Volos), Pedro Bondo (Famalicao), David Carmo (Real Oviedo), Jonathan Buatu (Gil Vicente), Kilandola Gaspar (Lecce), Clinton Mata (Olympique Lyonnais).

Viungo: Beni Mukendi (Guimaraes), Show (Kocaelispor), Fredy (Bodrumspor), Maestro (Alanyaspor), Kelliano (Akhmat Grozny), Mario Balburdia (Boluspor).

Washambuliaji: Zito Luvumbo (Cagliari), Manuel Benson (Swansea City), Milson (Red Star Belgrade), Chico Banza (Zamalek SC), Gelson Dala (Al-Wakrah), Randy Nteka (Rayo Vallecano), Ary Papel (Al-Akhdar SC), Mabulu (Al-Ahli Tripoli SC), Mbala Zola (Pisa), Zine Salvador (AEK).

Zimbabwe

Makipa: Washington Arubi (Marumo Gallants), Elvis Chipezeze (Magesi), Martin Mapisa (MWOS FC).
Mabeki: Godknows Murwira (Scottland FC), Emmanuel Jalai (Dynamos FC), Sean Fusire (Sheffield Wednesday), Munashe Garananga (FC Copenhagen), Gerald Takwara (Al Ittihad Misurata SC Libya), Isheanesu Mauchi (Simba Bhora FC), Brandon Galloway (Plymouth Argyle), Teenage Hadebe (FC Cincinnati), Alec Mudimu (Flint Town United), Divine Lunga (Mamelodi Sundowns).

Viungo: Marvelous Nakamba (Luton Town), Jonah Fabisch (Erzegebirg Aue), Andrew Rinohmhota (Reading), Prosper Padera (SJK Seina Joki), Tawanda Chirewa (Wolverhampton Wanderers), Knowledge Musona (Scottland FC).

Washambuliaji: Bill Antonio (KV Mechelen), Ishmael Wadi (CAPS United), Tawanda Maswanhise (Motherwell), Daniel Msendami (Marumo Gallants ), Prince Dube (Young Africans), Washington Navaya (TelOne), Macauley Bonne (Maldon & Tiptree), Junior Zindoga (TS Galaxy), Tadiwanasche Chakuchichi (Scottland FC).

Related articles

spot_img

Recent articles

spot_img