Ads: info@gazetini.co.tz |
24.2 C
Dar es Salaam

Michezo

Barca kumlipa Gordon mshahara wa bil. 21.4/-

CATALUNYA, Hispania WINGA wa kimataifa wa England, Anthony Gordon, amejiunga na Barcelona na mshahara wake ni euro milioni saba (zaidi ya Sh bil. 21.4 za...

Yametimia! Mourinho asaini miaka mitatu Madrid

MADRID, Hispania NI rasmi Real Madrid imemrejesha Jose Mourinho kuwa kocha wao mpya na Mreno huyo amesaini mkataba wa miaka mitatu Hata hivyo, 'Special One' mwenye...

Afrika na ndoto ya Pele fainali za Kombe la Dunia 2026

CAIRO, Misri MKONGWE wa soka la Brazil, Pele, aliwahi kutabiri kuwa siku moja Kombe la Dunia litatua Afrika. Alisema hilo lingetokea mwaka 2000. Isivyo habari,...

Carlo Ancelotti na ‘mzimu’ wa Neymar, kikosi cha mastaa Brazil

RIO, Brazil UNAPOITAJA timu ya soka ya Taifa ya Brazil, unazungumzia mabingwa mara nyingi zaidi katika historia ya Kombe la Dunia. Wamelibeba taji hilo mara...

Serengeti Boys yamkosha Arsene Wenger

Na mwandishi wetu, Gazetini ALIYEWAHI kuwa kocha wa Arsenal, Arsene Wenger, amekunwa na kiwango kizuri cha timu ya soka ya vijana wa U-17 ya Tanzania...

Klabu ipi EPL ina mastaa wengi Kombe la Dunia 2026?

LONDON, Uingereza MASTAA zaidi ya 100 wa klabu za Ligi Kuu ya England (EPL) watakuwa katika fainali za Kombe la Dunia za mwaka huu zitakazoanza...

Uholanzi na ndoto isiyotimia Kombe la Dunia

AMSTERDAM, Uholanzi KWA Taifa kama Uholanzi, ambalo historia yake ya kuzalisha vipaji vikubwa vya soka inafahamika, inaweza kushangaza kuona haijwahi kutwaa ubingwa wa Kombe la...

Max Dowman: Kinda wa Arsenal aliyevunja rekodi kibao EPL

LONDON, Uingereza MSIMU wa 2025-26 haukuwa mzuri tu kwa Arsenal, bali pia umeacha alama kubwa katika safari ya soka la kulipwa ya kinda wao raia...

Pochettino atangaza ‘jeshi’ lake Kombe la Dunia

LOS ANGELES, Marekani KOCHA wa timu ya soka ya Taifa ya Marekani, Mauricio Pochettino, ameita kikosi cha wachezaji 26 kwa ajili ya fainali za Kombe...

Zifahamu sheria, kanuni mpya Kombe la Dunia 206

NYON, Uswis NI siku chache tu zimebaki kabla ya kuanza kwa fainali za Kombe la Dunia, ambazo kwa mara ya kwanza zitafanyika katika nchi tatu...

Gomez wa Liverpool aibukia Aston Villa

MERSEYSIDE, Uingereza KLABU ya Aston Villa imejitosa katika mbio za kuiwania huduma ya kiungo wa Liverpool raia wa England, Joe Gomez. Baada ya kutwaa ubingwa wa...

Barcelona mbioni kumchukua Gordon

CATALUNYA, Hispania KLABU ya Barcelona imeripotiwa kuingia kwenye hatua za mwisho za kumsajili winga wa Newcastle United, Anthony Gordon, ambaye pia anazitoa udenda Arsenal na...

Recent articles