Ads: info@gazetini.co.tz |
29.9 C
Dar es Salaam

Michezo

Ronaldo mfungaji bora wa muda wote Al-Nassr

RIYADH, Saudi Arabia NAHODHA wa Al-Nassr, Cristiano Ronaldo, ameweka rekodi ya kuwa mfungaji bora wa muda wote wa klabu hiyo. Ronaldo ameandika historia hiyo jana Agosti...

Kumekucha Ligi ya Mabingwa Ulaya 2026-27

MONACO, Ufaransa DROO ya ratiba ya Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu huu wa 2026-27 ilichezeshwa jana, Agosti 27, 2026 mjini Monaco, Ufaransa. Ligi hiyo kwa...

Desailly hamkubali hata kidogo kipa Chelsea

LONDON, Uingereza LEJENDARI wa Chelsea, Marcel Desailly, amesema kama kuna mchezaji asiyetakiwa kuingia tena kwenye kikosi cha timu hiyo, basi ni kipa Robert Sanchez. Kauli ya...

Man United njia nyeupe kwa Adarabioyo

MANCHESTER, Uingereza KLABU ya Manchester United imejiweka kwenye nafasi nzuri ya kuinasa saini ya beki wa Chelsea, Tosin Adarabioyo. Katika dirisha kubwa hili la usajili wa...

Chelsea na mkosi wa jezi namba 9

LONDON, Uingereza ILIMCHUKUA sekunde 31 pekee straika wa Kibrazil, Joao Pedro, kuifungia bao Chelsea katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Fulham, mchezo wa Ligi Kuu...

Xavi Hernandez kurejesha heshima ya Uholanzi?

ZEIST, Uholanzi KIUNGO na kocha wa zamani wa Barcelona, Xavi Hernandez, ndiye aliyekabidhiwa benchi la ufundi kwa ajili ya kuinoa timu ya soka ya Taifa...

Man United yamnasa Baleba

MANCHESTER, Uingereza KLABU ya Manchester United imekamilisha usajili wa kiungo wa kimataifa wa Cameroon, Carlos Baleba baada ya kukubali ada ya Pauni milioni 70. Kwa mujibu...

Sakata la Julian Alvarez kutua Arsenal, Barcelona

MADRID, Hispania MWANASOKA raia wa Argentina anayecheza eneo la ushambuliaji, Julian Alvarez, alijiunga na Atletico Madrid mwaka 2024 akitokea Manchester City na usajili wake uligharimu...

Rio: Arteta anabeba tena EPL

LONDON, Uingereza BEKI wa zamani wa Manchester United, Rio Ferdinand, amemtabiria kocha wa Arsenal, Mikel Arteta, kutwaa tena taji la Ligi Kuu ya England (EPL)...

Yanga yaipigisha kwata JKT, yaitandika ‘4G’

Na mwandishi wetu, Gazetini USHINDI wa tatu mfululizo. Yanga imeibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa leo Agosti 24,...

Maxi Nzengeli ndiye ‘x-factor’ Yanga

Na Hassan Mwasha, Gazetini KWA miaka mitatu mfululizo tangu aliposajiliwa mwaka 2023, amekuwa kwenye kiwango kile kile kutoka mechi moja hadi nyingine. Na inapotokea siku...

Salah kazi imeanza, atupia mawili Uturuki

ISTANBUL, Uturuki MSHAMBULIAJI wa zamani wa Liverpool, Mohamed Salah, amefunga mabao mawili katika mechi yake ya kwanza aliyoingia 'first eleven' akiwa na timu yake mpya...

Recent articles