WASHINGTON DC, Marekani
RAIS wa Lebanon, Joseph Aoun, alikutana na kufanya mazungumzo na mwenyeji wake nchini Marekani, Donald Trump, mapema wiki hii.
Ziara ya Rais Aoun...
Na mwandishi wetu, Gazetini
TATIZO la ajira kwa vijana limeendelea kuzalisha maandamano katika nchi mbalimbali duniani, safari hii India ikichukua nafasi.
Hamasa ya vijana wa Chama...
LONDON, Uingereza
KABLA ya kuanza kwa fainali za Kombe la Dunia za mwaka huu (2026), hawakuwa na majina makubwa, lakini sasa wanawindwa na klabu kubwa...
HAGUE, Uholanzi
MAHAKAMA ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita (ICC) imeendelea kulaani kinachoendelea Sudan, ikisema upo ushahidi wa uwepo wa matukio ya uhalifu dhidi ya...
LONDON, Uingereza
SHIRIKISHO la Soka la Italia (FIGC) limeanza mazungumzo na kocha aliyeondoka Manchester City, Pep Guardiola, likijaribu kumshawishi kuchukua nafasi ya Gennaro Gattuso aliyeondoka...
BOSTON, Marekani
FAINALI za Kombe la Dunia za mwaka huu (2026) zilizochezwa kwa siku 39, kwenye viwanja 16, zikishirikisha wachezaji 1,039 kutoka timu 48, zilishuhudia...
LONDON, Uingereza
BAADA ya miaka 20 ya kufanya kazi, akichezesha mechi 831, mwamuzi wa kati raia wa England, Anthony Taylor, alitangaza kustaafu hivi karibuni.
Mechi yake...
NEW YORK, Marekani
MIAKA 10 iliyopita, Umoja wa Mataifa ulipitisha azimio la kumaliza aina zote za umasikini, kuhakikisha usawa katika jamii, pamoja na kudhibiti majanga...
NEW DELHI, India
MAANDAMANO makubwa ya vijana nchini India yanaipa wakati mgumu Serikali ya Waziri Mkuu, Narendra Modi.
Gen-Z hao kupitia Chama chao cha 'Vijana wa...
Na mwandishi wetu, Gazetini
KATIKA hotuba yake ya Julai 17, 2026, Rais Donald Trump aliishutumu China kwa kuingilia Uchaguzi Mkuu wa Marekani wa mwaka 2020.
Trump...
Na mwandishi wetu, Gazetini
UTAFITI uliochapishwa katika Jarida la JAMA unaoonesha kuwa mmoja kati ya watu watano nchini Marekani wanafanya maamuzi ya kinga na tiba...