Na Hassan Mwasha, Gazetini
KELELE za kukera, kama si za kuchefu kabisa, zinakita kwenye ngoma za masikio yangu. Kelele zinazojirudia, zinazochefua na kunipa picha ya...
Na mwandishi wetu, Gazetini
NDOA za utotoni, zinazofafanuliwa kama ndoa inayohusisha mmoja au wote wawili walio chini ya umri wa miaka 18, bado ni tatizo...
Na mwandishi wetu, Gazetini
"UVUMILIVU ni mchungu lakini matunda yake ni matamu." Ni msemo unaotafsiri maisha mazuri wanayoishi waajiriwa baada ya mateso ya 'kozi' ngumu...
PRETORIA, Afrika KusiniAFRIKA, kama ilivyo kwa mabara mengine duniani, imeendelea kuwekeza katika elimu ya juu, ikishuhudia mamilioni ya wahitimu wa vyuo vikuu wakiingia kwenye...
Na mwandishi wetu, GazetiniUTAFITI mpya umeitaja Afrika Kusini kuwa ndiyo nchi ambayo wananchi wake wanatumia muda mwingi mitandaoni.Ripoti ya utafiti uliofanywa na Taasisi ya...
Na mwandishi wetu, GazetiniRIPOTI ya mwaka huu ya mtandao wa OECD inaonesha kuwa Canada ndiyo kinara katika orodha ya nchi zenye wasomi wengi duniani,...
Na mwandishi wetu, GazetiniDIPLOMASIA ya taaluma ni eneo jingine ambalo Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi imewekeza nguvu kubwa katika mahusiano yake na...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema Serikali itaendelea kuweka mazingira wezeshi kwa wawekezaji katika sekta ya elimu...
Na Winifrida Mtoi, Gazetini
TAARIFA za uzushi zimeendelea kusambaa kwa kasi kubwa katika mitandao ya kijamii, hasa kutokana na ongezeko la watumiaji wa majukwaa hayo...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
WAKALA wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) umeahidi kuiwezesha Shule ya Sekondari Kambangwa iliyopo Kinondoni Jijini Dar es Salaam...
Na Jonathan Benedict, Gazetini
Idadi inayoongezeka ya viongozi duniani sasa wanazingatia ujuzi wa kutumia Akili Unde au bandia (AI) kama sharti lisiloweza kupuuzwa wakati wa...